Hii ni nzuri sana ni bora ucheze na hii kuliko back 3On paper ni back 5 (523) Lakini uwanjani Formation ni sawa na nilikua natumia msimu uliopita 3133 sababu Carlos na Belleti muda wote wapo kwenye winga ya mpinzani 😅
vieri hajammaster bado 😃😃😃Tupande kesho mida ya saa 5 nikamkabe Vieri😅
Back 3 msimu huu tangu update haifaiHii ni nzuri sana ni bora ucheze na hii kuliko back 3
Akimjulia hapatokalika humuvieri hajammaster bado 😃😃😃
UhakikaMkuu hapa nimebanana usiku uwepo hapa nikupe maelekezo kuanzia saa mbili mbili hivi
Ila kwenye outwide naona kama inakubali hivi maana nimecheza na watu kadhaa wenye back 3 na Amorim nimeshinda kwa binde sanaBack 3 msimu huu tangu update haifai
Ukicheza outwide na wacheza kama wewe utapasuka sana. Wachezaji wanatanua sana through ball 1 mtu anakutana na kipa.Ila kwenye outwide naona kama inakubali hivi maana nimecheza na watu kadhaa wenye back 3 na Amorim nimeshinda kwa binde sana
Huku log in kwa muda gani?Data zilikua linked na konami pekee sikulink kwenye Google playgames
Saiz inaweek toka ipo hacked na nimeisech naiona na haitumikiHuku log in kwa muda gani?
Ulimpa mtu password? Kama hukumpa mtu basi fanya data transfer kawaida kwa KONAMI ID itakubaliSaiz inaweek toka ipo hacked na nimeisech naiona na haitumiki
Ulitumia njia gan kulinkWakuu nimelost access za account yangu hivi kuna namna nyingine ya kulink data
Sasa umepoteza vip ulimpa mtu au hujafungua game kwa miezi sita??Data zilikua linked na konami pekee sikulink kwenye Google playgames
Amna saiv mbona napiga adi back pass 😃😃😃ngoja week ijayo nifikishe hiyo 750 nichukue Haram football Manager 😂😂😂Ukicheza outwide na wacheza kama wewe utapasuka sana. Wachezaji wanatanua sana through ball 1 mtu anakutana na kipa.
Ulitoa password na email kwa mtu nini?? Iludishe kwako kabla hajachange emailSaiz inaweek toka ipo hacked na nimeisech naiona na haitumiki
Na omba asiwe amelink na Google play maana mnacheza wawili kwa account moja kama amefanya hivyoUlitoa password na email kwa mtu nini?? Iludishe kwako kabla hajachange email
Ni balaa aiseh hili suala la huyu ndugu...Na omba asiwe amelink na Google play maana mnacheza wawili kwa account moja kama amefanya hivyo