eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Nakutafitia badge ya fifa kocha .....hatuwezu kosa timu ya daraja hata la 3 uingereza
Labda kwenye magemu sio real football 😂😂😂alafu kama unafuatilia natoa opinio kutokana na mchezo wangu ulivyo ndo maana napishana na Razorblade kila siku😂😂😂

Mchezo wangu hauelewi anaona nacheza utumbo alafu anaona nipo nampa mtu suggestions acheze mchezo wangu😂😂😂
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha ..


Jaman amke amken

Wameachana bhana😂😂😂


Mtu na strker la uzito Wa GB mbili 😂😂😂
Ukiendelea hivi naenda kumjaza speed hata akishuka mpaka 100 namuweka kikosini 😂😂😂
 
Corrie de killer mkuu network yako ina shida


Nilitaka tucheze game kadhaa ili tuje tupeane ushauri vizuri lakn naona kwako changamoto...

Pia cheza game nyingi sana za kirafiki mkuu uongeze uzoefu..

Japo nimeona kama kwa mchezo wako 4222 au 4312 ndo unakufaa maana unahitaji AMF wa kuanzisha mashambulizi kuanzisha na na DMF nimeona ni kazi kwako
 
Ikifika saa tano tafuta popcorn zako njoo ukae hapa usubili vilio😂😂😂
IMG_20250905_111507_314.jpg
 
Back
Top Bottom