Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 15,150
- 35,063
Ahaha una tumia play style gani mkuu,Timu yangu kila siku inabadirisha makocha na hakuna matokeo mazuri kama man u yenyewe... haya tumeamua tumchukue na fabio, formation gani nzuri kwa lbc na lb amnayo itaendana na huyu kocha