eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Pia Rodri mpe Deepline 😃😃 ukipata mpira na Pedri we piga through ya nguvu mbele kama una smart assist hilo ni goli hakuna wa kumkamata Batistuta akiondoka😃😃😃
Na kama ungekuwa na mtu kama Guardiola nje mweke maana ana lofted pass kubwa😂😂😂mweke hapo kwa pedri... Akishika mpira Tuu jaza through mbele wai kufunga hiyo ndo link up play sasa😃😃😃jana nimetestiwa na mwanangu mmoja aseee mchezo mbaya sana huo
 
Mr Devil heshima yako mkuu 😃😃🙌

Dakika 12 kwel ulitaka uniue Anyway sijui kipa wangu leo ameambiwa asipoperform hali nyumban😃😃😃🙌🫡
Screenshot_20250905-100544.png
 
Na kama ungekuwa na mtu kama Guardiola nje mweke maana ana lofted pass kubwa😂😂😂mweke hapo kwa pedri... Akishika mpira Tuu jaza through mbele wai kufunga hiyo ndo link up play sasa😃😃😃jana nimetestiwa na mwanangu mmoja aseee mchezo mbaya sana huo
Haram tactician naona unatoa hoja hapa mtuangamize
 
Ume ona niki tumia CF goal porches wawili mmoja lazima apotee Selikavu
Amna mmoja mpe counter target mmoja mwache na free runs ila hizo through ziwe kwa yule mwenye counter target ndo ana chance kubwa ya kupita na akafunga😃😃

Huyo Vieri mbona humtumii vizuri mkuu😃😃

Mpe counter target Batigoal alafu Vieri akae upande wake ili apige blitz vizur na kama ana ss mpe ss kabisa akibaki nyuma tuu unapiga zako Blitz 😃😃😃
 
Back
Top Bottom