Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,419
- 34,512
Karibu sana mkuu ulishawai kulicheza hapo nyuma ili tujue Kwa kuanziaAsante mkuu namimi nime download.leo
Karibu sana mkuu ulishawai kulicheza hapo nyuma ili tujue Kwa kuanziaAsante mkuu namimi nime download.leo
Watu walipigwa mbaya mbovu 😃😃Nasubiri cup ya wenye ndoa na wasiooa
Mkuu nilifuta kwa sasabu ya kugandaganda. simu jau.Karibu sana mkuu ulishawai kulicheza hapo nyuma ili tujue Kwa kuanzia
Shusha graphics mkuu lowest koteMkuu nilifuta kwa sasabu ya kugandaganda. simu jau.
Haina shida mkuu nita dawnilod tena nikienda kwenye wifi.Shusha graphics mkuu lowest kote
Sawaa mkuuHaina shida mkuu nita dawnilod tena nikienda kwenye wifi.
Lete code tupasheSawaa mkuu
UpoLete code tupashe
UpoLete code tupashe
Mjipange😃😃tutakuja kuwatoa wote round one siku mojaAI
😂😂😂
Konami wametoa Best kama kifungashio kwa kila mtu😃😃
Ndiyo nipo tuondoke
Nimetumia coins 1000 na sijampata
Nipe codeNdiyo nipo tuondoke