Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Inakaba njia na kublock mpira mpinzani anapopiga shuti ikiwa mchezaji wako yupo eneo sahihi.Match Up kwenye eFootball inahusika na nini hasa wakuu?
Ufafanuzi tafadhali.
Inakaba njia na kublock mpira mpinzani anapopiga shuti ikiwa mchezaji wako yupo eneo sahihi.Match Up kwenye eFootball inahusika na nini hasa wakuu?
Ufafanuzi tafadhali.
😅😅🫡🫡Hongera sana mkuu....dalili zilikuwa wazi unafika mapema tu
Sasa nitajuaje mchezaji wa timu pinzani anataka kupiga shuti ili ni press button ya match up?Inakaba njia na kublock mpira mpinzani anapopiga shuti ikiwa mchezaji wako yupo eneo sahihi.
Bila shaka issue kubwa hapa ni namna ya kukaba.Sasa nitajuaje mchezaji wa timu pinzani anataka kupiga shuti ili ni press button ya match up?
Maana shuti ni kitendo cha robo sekunde tu limeshapigwa bila wewe kujua.
Au nikihisi tu mchezaji wa timu pinzani anaweza kuanchia shuti then nianze ku deal na button ya match up?
Wakati huo ninaposhikilia match up button nishike na button ya Dash kwa pamoja ama?Bila shaka issue kubwa hapa ni namna ya kukaba.
Hii update ya sasa inakuhitaji wewe binafsi kwenye kuzuia bila msaada wa AI, ukitumia match up unakuwa unablock njia au shuti.
Ukiwa unaenda kukaba shika match up kisha opponent akisogea karibu achia kisha wahi dash, hii itakuwezesha kupora mpira.
Opponent akiwa kwenye eneo lako na unahisi kabisa anajiandaa kupiga basi usiachie match ila hakikisha unafata movements zake kabla hajapiga.
Hapana haushiki kwa pamoja, unashika match halafu akiwa karibu unaachia match up unashika dash.Wakati huo ninaposhikilia match up button nishike na button ya Dash kwa pamoja ama?
Maana huwa natumia Dash kukaba na kupoea mipira ama huwa nakosea mkuu?
Ipo nimeiangalia bado sku 6Iv treasure link ile ya chance deal bado ipo au imetoka???
Mlioangalia kwenye game???
Tumsaidie mwamba apate hizo chance deals kwanza😃😃kama 80 hivi akipiga pale akapata zake hata epic watatu unyama 😃
Fungua account nyingine mkuu tutakuelekeza namna ya kulink kabisa😃Wakuu hapa nahisi kuelemewa na dunia, Game langu limefutika na nimeshindwa kurudisha account yangu niliyokuwa natumia mwanzo yaani nimeanza upya, dadeq
Kipi spesho kilichoongezeka kwenye game lako? Mana umechangamka mno sikuizi 😅Amna opponent anae taka kula kichapo kabla ajaenda kwenye lig
Unabet mwenzio apate epic watatu wakati wewe uliambulia upepo 😂😂😂Iv treasure link ile ya chance deal bado ipo au imetoka???
Mlioangalia kwenye game???
Tumsaidie mwamba apate hizo chance deals kwanza😃😃kama 80 hivi akipiga pale akapata zake hata epic watatu unyama 😃
Nipo tuma code tuKaka, upo??
Poa, nafungua game hapaNipo tuma code tu