eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Mkuu Negan heshima yako🤣

Ila game ya kwanza umenivunja mbavu sana🤣🤣🤣hizo card za njano nikajua leo hapa sitoki😃😃😃View attachment 3464300

Hii game imeniuma sana yan sijui nianze kucheza na poda😃😃😃 mikono inajaa maji kila muda😃😃😃

Eniwei best team imewin congratulations mkuu tutakutana tena sisi ni pipo 😃😃
View attachment 3464302
Umemkaba sana Neymar kweli mimi ni wa kupiga cross 5 mechi nzima😀

Sema kummaba Neymar nicheze mchezo wangu zamani wa ku dribble magoli ya Neymar na Roberto Carlo ni pure individual brilliance 😀
 
Umemkaba sana Neymar kweli mimi ni wa kupiga cross 5 mechi nzima😀

Sema kummaba Neymar nicheze mchezo wangu zamani wa ku dribble magoli ya Neymar na Roberto Carlo ni pure individual brilliance 😀
Goli la Robert Carlos nimekosea kukaba pale nimepeleka mchezaji si akasimama😃😃makosa😃😃😃

Backline yako game ya kwanza ilijua kunishika😃😃yan sikutembea kabisa
 
Mill broh GOOD GAME KAKA 🔥🤞
eFootballâ„¢_2025-09-04-00-24-53.jpg
eFootballâ„¢_2025-09-04-00-42-48.jpg
🙌
 
Mkuu Negan heshima yako🤣

Ila game ya kwanza umenivunja mbavu sana🤣🤣🤣hizo card za njano nikajua leo hapa sitoki😃😃😃View attachment 3464300

Hii game imeniuma sana yan sijui nianze kucheza na poda😃😃😃 mikono inajaa maji kila muda😃😃😃

Eniwei best team imewin congratulations mkuu tutakutana tena sisi ni pipo 😃😃
View attachment 3464302
Saves 6 kwa 3 😂🙌
 
Hatari na nusu 😂😂 afu wadau mki piga penalty mtuambie kipa kafata wapi , haiwezekan penalty nikose kila siku na nyie mpo
Hapana haruki upande mmoja... Kwa kila mtu

Sema inabid uwe unakariri kama jana aliruka upande fulani kesho kuna possiblity akaludia huo upande tena

Baada ya kuruka sehemu mara mbili itakayofata piga alikokua anaruka wakati unaangalia either karuka au kabaki kati kati...zikiisha mbili tena piga alipokuwa karuka😃😃
 
Edo kissy nakusalimia kaka🤣🤣

Kituo kinachofata ni wewe haiwezekana huna badge ya division one tutahama uzi🤣🤣🤣tuanzishe wa kwetu😃😃phase ijayo nipo na wewe mpaka uipate😃😃
 
Back
Top Bottom