eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Hatari na nusu 😂😂 afu wadau mki piga penalty mtuambie kipa kafata wapi , haiwezekan penalty nikose kila siku na nyie mpo
Naweza toa code halafu nikaanza kukosa 😂

Binafsi napiga kati tu, tangu update mpya mpaka leo nimekosa penalty 1 tu kipa hakuruka 😂😂😂
 
Hapana haruki upande mmoja... Kwa kila mtu

Sema inabid uwe unakariri kama jana aliruka upande fulani kesho kuna possiblity akaludia huo upande tena

Baada ya kuruka sehemu mara mbili itakayofata piga alikokua anaruka wakati unaangalia either karuka au kabaki kati kati...zikiisha mbili tena piga alipokuwa karuka😃😃
Sipendi kubahatisha kabisa, yeye aruke atakavyo ila kila siku napiga katikati tu 😂😂😂
 
Kingine game zote sio pes ,dls wameshindwa kabisa kuweka code ambazo mchezaji akishika ndani ya 18 iwe penalty auakishika mchezaji iwe faulo? Niulizie kwa konami
Na ajabu ni kwamba kwenye eFootball mchezaji akiwa anazuia ndani ya box anafunga mikono nyuma, mkuu njia rahisi ya kupata penalty wewe ingia kwenye box mtu akuchape tu halafu injury uwe umeweka on 😂😂😂

Joke.
 
Sawa swala la offdide mbona wameweka 100% na hadi vivuli wameweka wameshindwa vipi kushika mpira ok sawa kwanini wameweka mabeki huwa wanaweka mikono nyuma kuogopa kushika ndani ya box?
Sio kama wameshindwa kuweka hapana ila wanaongeza vitu kidogo kidogo kila msimu ili kuongeza msisimko kwa fanbase ya E football mobile hiyo ni marketing strategy tu..

Wakisema waweke vitu vyote kwa pamoja basi watu wengine watakua bored mapema na kuacha kucheza game
 
Kusubiri kuna raha na karaha 😂
 
Nimeingia YouTube hapa kuna YouTuber anajiita Liars Fc akawa anasema leo wanaleta Fabio Capello kocha wa link up play

Kwenda kuangalia playstyle yake jamaa ana 89 LBC na 89 Long ball🤣🤣🤣

YouTuber akasema this is totally Haram ball🤣🤣🤣

Kamwita Haram Ball Manager 🤣🤣🤣
 
Nimeingia YouTube hapa kuna YouTuber anajiita Liars Fc akawa anasema leo wanaleta Fabio Capello kocha wa link up play

Kwenda kuangalia playstyle yake jamaa ana 89 LBC na 89 Long ball🤣🤣🤣

YouTuber akasema this is totally Haram ball🤣🤣🤣
Angekuwa na LBC 89 na QC 89 ingekuwa unyama sana.

Namsubiri kocha mwenye hizo playstyle 2.

IMG-20250904-WA0016.jpg

Wakileta wa QC na LBC hata akihitaji coins 1000 nitatoa.
 
Back
Top Bottom