eFootball Special Thread

Huyu Capello ndo kocha sasa na Link up play yake kdg ni nzuri sio kama Za wengine Yan huyu Nilikuwa nataka kumchukua martnez lakn ngoja nikusanye coin nimchukue πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Huyu Capello ndo kocha sasa na Link up play yake kdg ni nzuri sio kama Za wengine Yan huyu Nilikuwa nataka kumchukua martnez lakn ngoja nikusanye coin nimchukue πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Na ndo nahamia huko sasa LBC naijua tayali nataka LB sasaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Nenda tu mie sibadilishi playstyle zangu, akija kocha wa hizi playstyle nishitue πŸ˜‚
 
Kwani hutaki uwe peke yako mkuu? πŸ˜‚

Unamshauri amuache Arteta πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huwezi tuelewa kaka sisi wazee wa haram football πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒyan hapa nina coins 520 mpaka week ijayo naona mbali kwel πŸ˜ƒ
 
Hiyo link up ya capello ni ile ile ya Creative playmaker na fox in the box?
Hapana Orcharchestor na goal poacher sio Fox in the Box

Ndo maana nikasema Vitinha na Ronalod here we goπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Au wela visionary pass kabisa ya AlonsoπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hapana Orcharchestor na goal poacher sio Fox in the Box

Ndo maana nikasema Vitinha na Ronalod here we goπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Au wela visionary pass kabisa ya AlonsoπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
DMF Orcharchestor na CF Adv Striker (Goal Pocher)

Me wa English ya US ukiniambia Pocher najua ni Fox in the Box maana kwangu kuna Adv striker na PocherπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…