AseeeππYale majina mawili tofauti, nina mpango wa kubadilisha kuweka Dracarys, mambo ya Daenerys πππ
Mkuu bado nasafari ndefu sana hahah ni vile strategies zipo kibaoNi kukomaa tuu hakuna namna
Welcome to the class of elites sasa wewe ni Pro max master Kandambili Michezo mingi
Foka mkuu foka mnoπππhaiwezekan upate badge kabla ya Doueπ€£π€£π€£Ngoja nitumie tena π€£π€£π€£ lazima wote waone nimefika
Hii inakuwa console mkuu sio
Shemeji anachezaje DLS wachezaji wanatembea kama wanaumwa nyonga πππAmna coca lake DLS huyoπ
lazma kukaza sana....sema ukifika 1700 unapata mzuka wa kumalizia hapo palipobakiCongratulations brother
Taarifa iwafikie
Edo kissy
Mr Devil
Razorblade ππ
Soon naanza kumuimbia mapambio.
Warld ππ
Ndo nataka nikuludishe,π€£π€£Sina mzuka napo huko au umesahau zile enzi zetu za kupeana moto π
Kikubwa RadhaππShemeji anachezaje DLS wachezaji wanatembea kama wanaumwa nyonga πππ
Amini mkuu hapo unapad pembeni, screen screen za simu zitadumu kwa muda mrefu πππMwakani mambo yakijipa nahamia hukuView attachment 3458459
Fam ukimpa train ya CF amini nakwambia uhakika wa ushindi ni 99.9% kila mechi, niamini mimi πππ
Sasa si ulimpata Baresi je mimi wa spine 86 alafu holaππNimespin zote jana hola.
Ushakuwa pro mzeeπMkuu bado nasafari ndefu sana hahah ni vile strategies zipo kibao
π€£π€£ leo usiku tawa onyesha iyo badge 1 hours lina nitosha kabisaCongratulations brother
Taarifa iwafikie
Edo kissy
Mr Devil
Razorblade ππ
Soon naanza kumuimbia mapambio.
Warld ππ
π€£π€£ Pro wakati nikicheza game 4 tu narudi dvn 3 tena π€£π€£π€£Ushakuwa pro mzeeπ
Ila tuache unafki hata ingekuwa mimi ndo Snow nisingemuacha shangazi mzuri vile halafu amenitaka mwenyewe πππAseeeππ
Unawaza GOT tuu kama mzee wa From Winterfell to Kings landing
Fanya hivyo Doue sio wa kuishia Division 2 kama Drogbaπ€£π€£π€£π€£π€£ leo usiku tawa onyesha iyo badge 1 hours lina nitosha kabisa
Unahisi sinatamani kucheza dvn ila we unaelewa simu ilivyokipengele halafu kule ili kutoboa inabidi ukaze mnoo maana siyo poa πNdo nataka nikuludishe,π€£π€£
Me mwenyewe nipo division 2 Point 1500 hukoπ€£π€£π€£π€£π€£ Pro wakati nikicheza game 4 tu narudi dvn 3 tena π€£π€£π€£
Bora Akina Snow....Ila tuache unafki hata ingekuwa mimi ndo Snow nisingemuacha shangazi mzuri vile halafu amenitaka mwenyewe πππ