Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,107
- 2,922
Defense mechanism 😂😹😹sha kwambia hawezi kuku okoa ,me niliku namtaka rate ya kikosi ipande tu ila angekaa benchi🥶🥶🥶🥶
Fam ukimpa train ya CF amini nakwambia uhakika wa ushindi ni 99.9% kila mechi, niamini mimi 😂😂😂🤣🤣kwa sababu Razorblade ana mdomo sana
Anaiuza vipi wakati ma tamu wake anataka account? Ampatie shemeji account hiyo 😂Kasema anaiuza Myunani 😅
Hongera mkuu.Wakuu wote humu ndani...Asanteni sana nimefika dvn 1
Kazi nzuri 👍Kila nikikarbia dvn 1 walikuwa wananipa watu wenye 3170 kupanda juu hadi 3223 huko ... Leo nimekaza nimefika kwa tabu sana.
Ile ya kwanza ni mtu utakayecheza nae unachukua treasure link yake ila baada ya hapo kuendelea match ikiisha unachagua kuacquire au unaachana nayoHivi ni unachagua au wanakuletea wenywe kutokana na mtu unaecheza nae au mm ndo sielewi
Mtu afike bei me naiacha😃😃Kasema anaiuza Myunani 😅
Kupanga ni kuchagua😃😃 wewe umeweka maherufi makubwa katikati kama kindergarten 🤣🤣🤣Sema username umeanza kwa herufi ndogo kama mtoto wa primary 😂😂😂
U will never know mybe utapata mmojaMkuu nimepata nyingi sana hizo halafu zinarudi kwao tu si bora coins nauhakika wa kuzitumia nikapata card.
Congratulations brotherWakuu wote humu ndani...Asanteni sana nimefika dvn 1
Ni kukomaa tuu hakuna namnaKila nikikarbia dvn 1 walikuwa wananipa watu wenye 3170 kupanda juu hadi 3223 huko ... Leo nimekaza nimefika kwa tabu sana.
Amna coca lake DLS huyo😃Anaiuza vipi wakati ma tamu wake anataka account? Ampatie shemeji account hiyo 😂
We shangalia kuingia division oneHongera mkuu.
Ukiwa una attach file instert full mkuu.
Yale majina mawili tofauti, nina mpango wa kubadilisha kuweka Dracarys, mambo ya Daenerys 😂😂😂Kupanga ni kuchagua😃😃 wewe umeweka maherufi makubwa katikati kama kindergarten 🤣🤣🤣
Nimespin zote jana hola.U will never know mybe utapata mmoja
Hii inakuwa console mkuu sioMwakani mambo yakijipa nahamia hukuView attachment 3458459
Sina mzuka napo huko au umesahau zile enzi zetu za kupeana moto 😂Congratulations brother
Taarifa iwafikie
Edo kissy
Mr Devil
Razorblade 😃😃
Soon naanza kumuimbia mapambio.
Warld 😃😃