Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,275
- 34,158
Goal pocher ni wazuri😃😅nme mjaribu ila naona ye na bati goal ( goal poacher) kukaa wawili ufanisi una pungua mbele
Cheza na Doue kama second striker chini yao kdg 😃
Sema hapo Raphinha sasa kama hana CMF itabid aanzie nje😃
Kama huu