eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Endelea kukaza vidole tu mkuu, utalizoea.
Nina week nimeanza kulicheza nilizoea dream league aisee napigwa sasa hivi nacheza na professional huyo isack mda wote anaingia kambani, changamoto niliyonayo kuchenga siwezi pia kuwakaba inakua changamoto sana wenyewe wanapiga chenga na kupress ila mimi siwezi nikigusa tuu wameninyanganya. All in all game zuri.
 
Aah kumbe una wiki tu mkuu, endelea ujaze hata miezi miwili tayari utakuwa ushalizoea game kaka..

Pambana na AI kwa wewe usiweke legend mode zitakusumbua mno, anzia professional pale kushuka chini, hiyo professional yenyewe ikikusumbua iache weka ya chini yake..

Na hili game saivi kupata kikosi ni chapu tu, mpaka hiyo miezi miwili ipite nadhani utakuwa tayari kwenye strength nzuri.
Uzuri ushakuwa mcheza magemu ya mpira kabla, ko we uhakika utalimasta tu soon.
 
Game zuri ila nafungwa hadi nakata tamaa.
unafungwa ukiwa unacheza pvp, AI au friend matches tu??

Nilipoona vipigo vinazidi nilitafuta formation moja na aina moja ya mpira...nikaupigia mazoezi mda wote kwenye match najua wapi nitapiga pass ...vingine najifunza taratibu bado mkuu..

Muda mwingine unafungwa sababu ya kuwa na kikosi kidogo chenye strength ndogo...
 
Back
Top Bottom