Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Aseee😃😃Yale majina mawili tofauti, nina mpango wa kubadilisha kuweka Dracarys, mambo ya Daenerys 😂😂😂
Unawaza GOT tuu kama mzee wa From Winterfell to Kings landing
Aseee😃😃Yale majina mawili tofauti, nina mpango wa kubadilisha kuweka Dracarys, mambo ya Daenerys 😂😂😂
Mkuu bado nasafari ndefu sana hahah ni vile strategies zipo kibaoNi kukomaa tuu hakuna namna
Welcome to the class of elites sasa wewe ni Pro max master Kandambili Michezo mingi
Foka mkuu foka mno😃😃😃haiwezekan upate badge kabla ya Doue🤣🤣🤣Ngoja nitumie tena 🤣🤣🤣 lazima wote waone nimefika
Hii inakuwa console mkuu sio
Shemeji anachezaje DLS wachezaji wanatembea kama wanaumwa nyonga 😂😂😂Amna coca lake DLS huyo😃
lazma kukaza sana....sema ukifika 1700 unapata mzuka wa kumalizia hapo palipobakiCongratulations brother
Taarifa iwafikie
Edo kissy
Mr Devil
Razorblade 😃😃
Soon naanza kumuimbia mapambio.
Warld 😃😃
Ndo nataka nikuludishe,🤣🤣Sina mzuka napo huko au umesahau zile enzi zetu za kupeana moto 😂
Kikubwa Radha😃😃Shemeji anachezaje DLS wachezaji wanatembea kama wanaumwa nyonga 😂😂😂
Amini mkuu hapo unapad pembeni, screen screen za simu zitadumu kwa muda mrefu 😂😂😂Mwakani mambo yakijipa nahamia hukuView attachment 3458459
Fam ukimpa train ya CF amini nakwambia uhakika wa ushindi ni 99.9% kila mechi, niamini mimi 😂😂😂
Sasa si ulimpata Baresi je mimi wa spine 86 alafu hola😃😃Nimespin zote jana hola.
Ushakuwa pro mzee😃Mkuu bado nasafari ndefu sana hahah ni vile strategies zipo kibao
🤣🤣 leo usiku tawa onyesha iyo badge 1 hours lina nitosha kabisaCongratulations brother
Taarifa iwafikie
Edo kissy
Mr Devil
Razorblade 😃😃
Soon naanza kumuimbia mapambio.
Warld 😃😃
🤣🤣 Pro wakati nikicheza game 4 tu narudi dvn 3 tena 🤣🤣🤣Ushakuwa pro mzee😃
Ila tuache unafki hata ingekuwa mimi ndo Snow nisingemuacha shangazi mzuri vile halafu amenitaka mwenyewe 😂😂😂Aseee😃😃
Unawaza GOT tuu kama mzee wa From Winterfell to Kings landing
Fanya hivyo Doue sio wa kuishia Division 2 kama Drogba🤣🤣🤣🤣🤣 leo usiku tawa onyesha iyo badge 1 hours lina nitosha kabisa
Unahisi sinatamani kucheza dvn ila we unaelewa simu ilivyokipengele halafu kule ili kutoboa inabidi ukaze mnoo maana siyo poa 😂Ndo nataka nikuludishe,🤣🤣
Me mwenyewe nipo division 2 Point 1500 huko🤣🤣🤣🤣🤣 Pro wakati nikicheza game 4 tu narudi dvn 3 tena 🤣🤣🤣
Bora Akina Snow....Ila tuache unafki hata ingekuwa mimi ndo Snow nisingemuacha shangazi mzuri vile halafu amenitaka mwenyewe 😂😂😂