Muda wowote unapigwa suuuuiiiSituation inayo eleweka ni ya Razorblade unaingia match una goal zako 5 mkononi πΉπΉ unaenda kutafuta za nyongeza ,ila ya NEGAN bado una ingia kwa kujihami
Mbona lipo wazi kabisa mkuu...lwaushindi aliopata jana sioni wakumsimamishaWataalamu wa michezo wakiwa kwenye kuchezeanaπ€£π€£π€£
Nawaoma kabisa wanatutafutia shida Hawa mkuu...Kandambili1 kaka hawa wanatugombanisha
Michezo hiyo kandambili πππMbona lipo wazi kabisa mkuu...lwaushindi aliopata jana sioni wakumsimamisha
100% ππΉπΉ poor performance kutoka kwa Warld
Alikuwa room muda huo, na mi nilikuwa room π
Dah humu saivi watu mnabonda hivi πRazorblade Masta umeamua kunipa ushindi kijana wako ili niendelee kutesa hatua inayofuata.
View attachment 3449730@Selikavu View attachment 3449731
Kaka bora hata hatukuwepo maana sio kwa hii dhahamaDah humu saivi watu mnabonda hivi π
Mmeanza michezo...πππKandambili1 kaka hii league imeanzishwa kwaajili yako ili utwae ubingwa.
Sangapi nikupe ushindi ili ukatimize matakwa ya waandaaji.
Kandambili ni lazima atwae ubingwaMmeanza michezo...πππ
Mkuu toka mchana naangalia kikosi chako naogopa hata kuja online master....nitunzie heshima hata zisizidi 5Kandambili1 kaka hii league imeanzishwa kwaajili yako ili utwae ubingwa.
Sangapi nikupe ushindi ili ukatimize matakwa ya waandaaji.
najua nafungwa mkuu ubingwa wa nje bora naupokeaKandambili ni lazima atwae ubingwa
Huyu master naona anataka nijae nisibutue butue amenikosaMmeanza michezo...πππ
Kheee yani toka mchana upo unatrain kwaajili ya konokono woooiiih π²π²π²Mkuu toka mchana naangalia kikosi chako naogopa hata kuja online master....nitunzie heshima hata zisizidi 5
Wataalamu wa michezo mmekutana na mnafanyiana michezo kwel kwel mkaumuke tu huko RoomππMkuu toka mchana naangalia kikosi chako naogopa hata kuja online master....nitunzie heshima hata zisizidi 5
Sijafungua game nataka upewe za mezani siwezi endana na Kasi ya kikosi chakoKheee yani toka mchana upo unatrain kwaajili ya konokono woooiiih π²π²π²