Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Mcheze bhana mkuu sisi ni kama Ivory Coast kwenye Afcon😃😃Mimi niliwahi kulala mchana nakua busy mill broh apewe ushindi round hii
Mcheze bhana mkuu sisi ni kama Ivory Coast kwenye Afcon😃😃Mimi niliwahi kulala mchana nakua busy mill broh apewe ushindi round hii
master hii game yako kabisa...nakuona fainali .Nilijua lazima unipe mechi na kandambili za umoja
Hahah application inanitafutia mapambano magumu ili nipumzike hahahaha....sema robo nayo sio mbayaAlafu sijapanga Mimi mkuu ni Application pia ilikuwa inafahamika kuwa utakutana na Kandambili 😃😃😃
Kikawake sasa mechi kali kabisa🤣🤣
Tunaogopa kukutana nawew mkuu....🤣🤣Naona Ni mimi tu ndio sija dharirika bado Kandambili1 , Warld Mill broh sio watu wa mchezo hii week 😹
Hao watacheza tu kunabalaa humu...mtu unakwepa fixture fulani 🤣🤣🤣Unamtaka Negan😃😃😃omba tu wasicheze upite fainal moja kwa moja🤣🤣🤣
Nime 🏃♂️ 🏃♂️ 🏃♂️ 😀Mcheze bhana mkuu sisi ni kama Ivory Coast kwenye Afcon😃😃
Usifanye ivyo kaka, kwan we utaki kupigwa buti na puyol 😹😹Mimi niliwahi kulala mchana nakua busy mill broh apewe ushindi round hii
Kamkabe Osimhen😀Usifanye ivyo kaka, kwan we utaki kupigwa buti na puyol 😹😹
Wataalamu wa michezo wakiwa kwenye kuchezeana🤣🤣🤣master hii game yako kabisa...nakuona fainali .
We understand 😃😃😃Nime 🏃♂️ 🏃♂️ 🏃♂️ 😀
Angeshinda zaidi ya hizo hakuwa makini tu 😂
Kandambili1 kaka hawa wanatugombanishaAlafu sijapanga Mimi mkuu ni Application pia ilikuwa inafahamika kuwa utakutana na Kandambili 😃😃😃
Kikawake sasa mechi kali kabisa🤣🤣
😹😹itabidi injury iwe on ,wambebe na machelaKamkabe Osimhen😀
😹😹kinyonge sana ,ume tukosesha game kali
Kwamba inabid atuombe radhi kwa ushindi mwembambaAngeshinda zaidi ya hizo hakuwa makini tu 😂
Uzuri wote tunaelewa situation ya Negan msimu huu😹😹kinyonge sana ,ume tukosesha game kali
Situation inayo eleweka ni ya Razorblade unaingia match una goal zako 5 mkononi 😹😹 unaenda kutafuta za nyongeza ,ila ya NEGAN bado una ingia kwa kujihamiUzuri wote tunaelewa situation ya Negan msimu huu
Inabidi afanye hivyo, amewakosea sana.Kwamba inabid atuombe radhi kwa ushindi mwembamba
Uhakika kabisa ila mie nimemshangaa sana Warld, hakuwa ametulia vizuri kapata hizo goli alipaswa kutulia zaidi ili apate nyingi zaidi.Situation inayo eleweka ni ya Razorblade unaingia match una goal zako 5 mkononi 😹😹 unaenda kutafuta za nyongeza ,ila ya NEGAN bado una ingia kwa kujihami