eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Nadhan nitakuwa nacheza events tuu kuanzia kesho kukusanya coins 50 basi
Screenshot_20250822-172157.png
 
Umeshafanya mawasiliano na hospital/zahanati yoyote ya karibu wakaandae ambulance na ICU? 😂😂😂

Hivi kumbe naekutana nae ni Warld? Nahisi anatafuta hivyo vitu nilivyotaja hapo juu 😂
Ulikuwa hujaona anakuletea michezo ya kandambili ujae🤣🤣
 
Niliishia dvn 2 aiseh nashindwa vuka mkuu....mpira kazi nao naushindwa
Kaza hakuna ukikata tamaa hutoboi me leo nimecheza na point 1733 to 1784 tangu asubuhi saa nne😃😃😃

Nikifika tuu 1784 napigwa au nadraw 😃😃tangu saa nne napambana tuu mwishon kabisa nimesema sasa hii ya mwisho nitaendele mwezi ujao ndo nikashinda😃😃
 
Back
Top Bottom