Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,107
- 2,922
Nakuja mkuu...nipo online nakusubr master ubebe point zakoTwende mkuu
Nakuja mkuu...nipo online nakusubr master ubebe point zakoTwende mkuu
Mkuu huyu mkuu amenitisha aiseh nilichungulia kikosi chake nikajisemea robo fainali inatosha sana tu...kupita nafasi haipo mpaka sahiziWataalamu wa michezo mmekutana na mnafanyiana michezo kwel kwel mkaumuke tu huko Room😃😃
Twende bingwa ushindi ni wakoNakuja mkuu...nipo online nakusubr master ubebe point zako
Kaka asante kwa mechi tamuMkuu huyu mkuu amenitisha aiseh nilichungulia kikosi chake nikajisemea robo fainali inatosha sana tu...kupita nafasi haipo mpaka sahizi
We jamaa matokeo Mimi natakataa haiwezekani uhack mfumo🤣🤣🤣🤣 inakuwaje wachezaji wangu wanamove vile aiseh 🤣🤣🤣🤣🤣 dawati la Malalamiko lipitie hiiKaka asante kwa mechi tamu
Game ya kwanza ulinisumbua nliweka 4-4-2 ila ya pili nliweka 4-3-3 nkatanua uwanja maana nliona umejaa sana katikati 😂😂 dembele mambio kulia afu hazard maspeed kushoto katikati kuna batigoal 😂😂We jamaa matokeo Mimi natakataa haiwezekani uhack mfumo🤣🤣🤣🤣 inakuwaje wachezaji wangu wanamove vile aiseh 🤣🤣🤣🤣🤣 dawati la Malalamiko lipitie hii
Hongera sana mkuu....game ya kwanza Kuna muda nilihisi mbs zimekata sikuwa naelewa movement ya wachezaji kabisa....all the best kwenye finaleGame ya kwanza ulinisumbua nliweka 4-4-2 ila ya pili nliweka 4-3-3 nkatanua uwanja maana nliona umejaa sana katikati 😂😂 dembele mambio kulia afu hazard maspeed kushoto katikati kuna batigoal 😂😂
Kipindi cha kwanza hadi kwangu nliona linakwamaHongera sana mkuu....game ya kwanza Kuna muda nilihisi mbs zimekata sikuwa naelewa movement ya wachezaji kabisa....all the best kwenye finale
Wadau wa one touch pass 😹😹
Pass 100+ kwan mlikuwa hamuon goli lilipo😃😃
Kandambili1 anapiga sana pasi yaani pasi 180 🙄
Ni hatari ya anacheza kama hataki ila ndio anatakaKandambili1 anapiga sana pasi yaani pasi 180 🙄
Dah we jamaa mnafiki sana 😅😅Kandambili1 kaka hii league imeanzishwa kwaajili yako ili utwae ubingwa.
Sangapi nikupe ushindi ili ukatimize matakwa ya waandaaji.
Mkuu 😂😂Dah we jamaa mnafiki sana 😅😅
Haha akifungwa mnaziona pasi sio 😅Kandambili1 anapiga sana pasi yaani pasi 180 🙄
Halafu kuna kina sisi tunacheza mpira hauelewkiHaha akifungwa mnaziona pasi sio 😅
Wapiga pasi tuheshimiwe.
😅 mpira unategemeana na mpinzani unaekutana naeHalafu kuna kina sisi tunacheza mpira hauelewki