eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

eFootballâ„¢_2025-08-18-08-53-01.jpg

Kwenye mechi ambazo zilinitesa division ni hii 😅

Yani jamaa nimeingia ana CF Balle, Vini, Mbappe

Jamaa pasi 2 tayari yupo anakutana na kipa dah basi nikabaki kuwa mbutuaji tu aysee daah mpaka nilijicheka baada ya 1st half.

2nd half nikabadili mfumo kwa vile nilikuwa nabutua mwanzoni nikaotea goli jamaa akaforfeit tu 😅
 
Back
Top Bottom