Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Kumbe una Isco tayali🤣🤣🤣 division usicheze sasaWalau safari hii wamenipa mchezaji niliemtaka.
View attachment 3261843
Kumbe una Isco tayali🤣🤣🤣 division usicheze sasaWalau safari hii wamenipa mchezaji niliemtaka.
View attachment 3261843
Mnafahamu italian Prince nyinyi🤣🤣🤣🤣Aje mmoja wa mfano
Amuone the italian prince francesco TOTI 105😅
Upofriendly jamani🥱
atanaivo mwanzo nilitesa kidogo mpaka Razorblade alikuwa hataki mazoea kabisa kuhusu kucheza 😅Ulikuja na mbwembwe🤣🤣🤣🤣
Daah! 😂🤐Kumbe una Isco tayali🤣🤣🤣 division usicheze sasa
Kwa hili boli la sasahivi akipata injury haponi 😂😂😂Mnafahamu italian Prince nyinyi🤣🤣🤣🤣
Sema analindwa mno hachezi hovyo hovyo🤣🤣🤣
Sasa kwa ulivyokuwa unaanza hiyo ilikuwa chaguo zuri maana wengi tulioanza game tulikuwa tunapanga ili streghth ikue 😂😂😂We jamaa livivu sana seriously ukawa unanishauri nitumie Auto pick🤣🤣🤣
Mourinho alikuwa na OW na LBC nikahamia kwa Alonso mwenye QC na PSSN, game limetutoa mbali aisee 😂😂😂Iv ww kichwa uliacha kabisa LBC ukanunua Xabi Alonso🤣🤣🤣
Aisee 😂😂😂Kwa mnaojiulizaga Pamela Mamtu imetoka wapi🤣🤣🤣
Mie nimetoa go ahead akihitaji points zake hakuna tatizo, ikiwa atakubali tucheze kiporo ili abebe point zake kwa kishindo hakuna neno pia 😂Wakuu hatutokuwa na fixtures leo mmalizie viporo Mill broh vs Corrie de killer
Na hii derby mpya chini ya kauli mbiu point za mezan hazinogi
Mr Devil na Razorblade
Kama mtakubaliana mcheze leo kama haitowezekana mtu ale point 6 zake
Nilikuwa nachungulia account napita kushoto bila kutuma invite 😂😂😂atanaivo mwanzo nilitesa kidogo mpaka Razorblade alikuwa hataki mazoea kabisa kuhusu kucheza 😅
Nilikuwa natafuta kitu.. nikaamua nifukueSasa kwa ulivyokuwa unaanza hiyo ilikuwa chaguo zuri maana wengi tulioanza game tulikuwa tunapanga ili streghth ikue 😂😂😂
Jana umelala na vitu kichwani mkuu? 😂😂😂
Na hakupata hata on target au alichezesha vipofuYapata miezi sita sasa mtu anajipanga kwa ajili ya kisasi😃😃😃
Nikimpata mmoja hapa safi kabisa ila konami walivyojau😔
Bora hata vipofu alichezesha viwete😃😃Na hakupata hata on target au alichezesha vipofu
Vitasa vya maanaNikimpata mmoja hapa safi kabisa ila konami walivyojau😔
Kama kawaida yako.Nilikuwa natafuta kitu.. nikaamua nifukue
Kikaa pale kimoja uwakika😃😃Vitasa vya maana
NEGAN siku hizi wanamshika sharubu sana sijui shida nini 😂😂😂Yapata miezi sita sasa mtu anajipanga kwa ajili ya kisasi😃😃😃