eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Point haziachwi kizembe umezingua 😂😂
Mkuu mie niliingia kwenye game mapema nikawa namsubiri opponent, nimecheza events mwenyewe nilivyoona naanza kuhisi usingizi nikaweka AI control ili niendelee kusubiri invitation maana muda wote sikuwa namuona online na hapo ndo nilipopitiwa na usingizi mazima 😂😂😂
 
Na join vp kwa ligi
Mkuu hii ligi tulikuwekq lakin hujatokea hata game mmoja na tunaenda mtoano...

Ngojea league ijayo ratiba inatoka Jumapili..

Na kutokana na nature ya JF mara nyingi saa nne usiku ndo match zinachezwa kwa hiyo hiyo mida unakuwepo kumsubuli opponent wako


Pia tupe username yako ya Efootball
 
As it stand now
IMG_20250821_065648_599.jpg
 
Kwakua leo hakuna fixture muende kuisoma Familia ya Mr Devil
😃😃😃😃

 
Mkuu umenipa hoja kubwa sana kuhusu Caicedo...

Huwa nachez ile league ya kawaida nipo nakomaa na top player kwanza maana ndo mara yangu ya kwanza kulicheza nizoe zoe kwanza kabla sijaenda live

Nilicheza kwa professional nikachukua league nimekuja kuanza na top player nikamaliza league wa tano shida kubwa ilikuwa nikija kushambuliwa ni kufungwa tuu ikabid nishift kwenda mabek watano ndo kidogo imekuwa ahuen nimecheza mechi 7 nikashinda zote nikaona shida namba sita alikuwa ni Kama Attacking midfielder
Hii akili ya Rodri umenipa ngoja nikamnunue na pep guardiola nilipe tu hiyo afu mbili yao kwa tigo pesa

Mbappe watanipa kesho nitakuwa naye japo huwa napenda striker mrefu ndo maana nikamnunua haalandView attachment 3239008
Back 5 kumbe nilitumia enzi za unoob wangu🤣🤣🤣

Gilberto_ Mill broh
 
Hii nilikuwa sijui nimeona kumbe kuna game unafungwa kisa wachezaji hawakuwa form

Mkuu nataka nimchukue Joshua Kimmich kama Another Dm vip anaweza akawa Anchorman au nae ni box to box Dm...??
Ila na mimi nilikuwa Noob kwel kwel 🤣🤣🤣


Achana na akina Kandambili wanatuchezea michezo🤣🤣🤣

Hata kuangalia playstyle za wachezaji nilikuwa sijui🤣🤣
 
Kwakua leo hakuna fixture muende kuisoma Familia ya Mr Devil
😃😃😃😃

Dadeki😹😹
 
Back
Top Bottom