eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Wakuu mnazungumziaje hii card ya Lamine, nichome coins au nibaki na ile card ya OVR 100?
IMG-20250821-WA0038.jpg
 
Me ilikuwa sawaa nimekipiga na Gilberto fresh tuu nikafungwa zangu safi kabisa 🤣🤣
Kwangu nilikuwa nashusha kitu cha 200MB kinaniandikia dakika 40+ mpaka kukamilika 😂

Hii laini nimepigwa, nifanye kurenew tu 😂
 
Back
Top Bottom