Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,007
- 12,525
Haanzi ila kuna kitu nafatilia kuhusu Combo ya Prolofic winger na Creative playmaker.Kwan messi wako ni nanišš
Haanzi ila kuna kitu nafatilia kuhusu Combo ya Prolofic winger na Creative playmaker.Kwan messi wako ni nanišš
Daah! šš¤Mtu upo Namtumbo huko unataka halotel yako ishike sawaa na mtu niliyepo postaš¤£š¤£š¤£
Mamiyakeššš
Ngoja nijichange tu nimchukue lamine wa 1800 ili niwe na edge crossing 2 kwenye first eleven.Kwan messi wako ni nanišš
Kuna update kwani?Yani MB 8 zikurekebishie ( match up) š š š
š amna kitu ,wadau walizani izo za ku update events al hamis zitaleta mabadiliko makubwaKuna update kwani?
Matatizo tu šššš amna kitu ,wadau walizani izo za ku update events al hamis zitaleta mabadiliko makubwa
Mkuu unataka tuingie mkenge utuzabueAaah simu ni mbovu kama wanabisha waje wanifunge na mimi basi šškama wameivaššš na waseme kabisa nataka battleš
Coin 100
Apo nitoe uliona wapi konokono anashindana mbio na ngiriSimu ikipona tunatengeneza groups group moja wanakaa Negan, Kandambili na Warld kiwakeš¤£š¤£š¤£š¤£
Hongera sana mzeešCoin 100
Kuna watu wanatumia coin mia alafu kuna mimi na Razorblade account zetu wamezirogaš¤£š¤£š¤£Coin 100
JAmbo jema mkuuHii simu nilikua nayo kitambo leo nikasema ngoja nijaribu ku download efootball kumbe linakubali