Wewe kama mimi mkuu hawa POTW wenye booster jau sana.Ipo hivi wachezaji ambao si epic kila week kunakua na form update ambayo inaangalia kwenye ligi zao
Kama mchezaji amekiwasha basi week inayofuata kwenye game wanampa A au B form akizingua wanampa na C au D.
Akiwa na booster maana yake booster linakua activated mchezaji akiwa na A linaboost stats kwa point 3, akiwa na B form inaboost stat kwa point 1 na akiwa na C inaboost point 0.
Sasa Donnaruma wakati kadi inatoka alikua amekiwasha UEFA akawa na A form hivyo sababu ana booster akawa 101. Ila hizi week hapakuwa na mechi za league na hakuafanya vizuri kimataifa hivyo ana D form booster haijawa activated ndio maana ana 98.
Ndio maana sipendagi players of the week wenye booster ili umfaidi inatakiwa aee na A au B form
Form unaangalia kwenye game plan kwenye alama ya mtu kulia chini
View attachment 3291229View attachment 3291228
Poa mkuu, nataka nifanye mpango niwe nalo pia.Ni kawaida kabisa hata sio nyingi
Mkuu😀
Ivi kikosi hiki umepeleka wap😀😂Nimeanza kucheza mwezi wa. 8 hatimaye leo kosi langu limekamilika. Nianze kutunza coin sasa
View attachment 3243021
Kipo mkuu😀Nimeanza kucheza mwezi wa. 8 hatimaye leo kosi langu limekamilika. Nianze kutunza coin sasa
View attachment 3243021
Hilo DLS game la watotoKwanin kwenye simu kuna game zuri zaidi ya DLS? Mengine ñaona hayana uhalisia kabisa
Hapana kaka unahitajika uwe onlineWakuu nisaidieni kujibu haya
hili game naweza cheza bila internet?
Pia je hili game lina mode ile ya kuchagua team na kcheza nayo msimu hadi msimu kombe la ligi, champions league, etc?
Selikavu
Razorblade
Unabalaaa kaka unavipiga bei ama😀😀Kipo mkuu😀
Mbona sasa NI nzuri kuliko hayo magame yenu ya online wachezaj wepesi kama karatasiHilo DLS game la watoto
Wewe mwenyewe huamini hiki ulichoandika😀Mbona sasa NI nzuri kuliko hayo magame yenu ya online wachezaj wepesi kama karatasi
Game ni hiiView attachment 2812371View attachment 2812339
eFootball ni mchezo wa simu unaohusisha mpira wa miguu, na hapa kuna habari muhimu kuhusu mchezo huo:View attachment 2812379
▫️Jina na Kurekebishwa: Mchezo huu awali ulijulikana kama "Pro Evolution Soccer" (PES), lakini baadaye ulibadilishwa jina kuwa "eFootball." Mabadiliko haya yalifanyika ili kuongeza msisimko na kuvutia zaidi.
▫️Makampuni Husika: eFootball inatengenezwa na Konami na inapatikana kwenye simu za Android na iOS.
▫️Timu na Ligi: Mchezo huu unajumuisha timu nyingi kutoka kote ulimwenguni na ligi maarufu za soka, kama vile Premier League, La Liga, Serie A, na zingine nyingi. Unaweza kuunda timu yako au kuchagua timu ulizopenda.
▫️Mfumo wa Kucheza: Mchezo huu unatumia mfumo wa kucheza wa simu, ambao unawaruhusu wachezaji kufanya udhibiti wa haraka na kutumia vifaa vya kugusa kwenye skrini ya simu.
▫️Michuano na Matukio: eFootball ina matukio na michuano mbalimbali ambayo unaweza kushiriki. Hii inaweza kuwa mashindano ya kila siku, kila wiki, au hata michuano mikubwa ya ulimwengu.
▫️Mbinu za Kimkakati: Mchezo unakuruhusu kubuni mbinu na kubadilisha mfumo wa timu yako kulingana na ujuzi wa wachezaji na mazingira ya mechi.
▫️Ubora wa Picha: eFootball inajulikana kwa ubora wa picha na sauti, ikitoa uzoefu wa kucheza wa hali ya juu kwenye simu.View attachment 2812362
▫️Mchezo wa Mtandaoni: Unaweza kucheza dhidi ya wachezaji wengine mtandaoni, kuunda timu ya marafiki, au kushiriki katika matukio ya mtandaoni.View attachment 2812361
▫️Mikataba na Wachezaji: Unaweza kusaini mikataba na wachezaji maarufu wa soka na kuongeza ufanisi wao kwenye timu yako.
▫️Ubunifu na Marupurupu: Mchezo unaruhusu ubunifu wa mavazi ya timu yako na pia unatoa marupurupu kwa wachezaji wanaofanya vizuri.
Hizi ni baadhi tu ya mambo kuhusu eFootball.
Mchezo huu unakua na kubadilika kwa wakati, na mara kwa mara hutolewa visa vipya, pembejeo, na maboresho. Kwa hivyo, uzoefu wako unaweza kutofautiana kulingana na toleo la sasa la mchezo.View attachment 2812365View attachment 2812366▫️pia mnaweza kucheza online watu wawili tofauti View attachment 2812375
Siamini vip Mimi ndio ñaona hivyoWewe mwenyewe huamini hiki ulichoandika😀
Aseee🤣Aje mmoja wa mfano
Amuone the italian prince francesco TOTI 105😅
Game ni online ila nikuondoe wasiwasi matumizi yake ya data ni kiasi kidogo sana.Wakuu nisaidieni kujibu haya
hili game naweza cheza bila internet?
Pia je hili game lina mode ile ya kuchagua team na kcheza nayo msimu hadi msimu kombe la ligi, champions league, etc?
Selikavu
Razorblade