Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Bora nicheze Lara kuliko dls 😂Raha ni kumzibua mtu live 😃😃
Bora nicheze Lara kuliko dls 😂Raha ni kumzibua mtu live 😃😃
Lara croft lile la kukimbiaBora nicheze Lara kuliko dls 😂
Hili unyama mkuu yani bora nicheze hili kuliko dls 😂
Umeshawai maliza level zote??Hili unyama mkuu yani bora nicheze hili kuliko dls 😂
Kwanza ngoja niangalie uwezekano wa kulishusha 😂
Kadownload Google sio playstore
Kuna level nilizishindwa 😂Umeshawai maliza level zote??
Ngoja nifanye hivyo.Kadownload Google sio playstore
Upgrade silahaKuna level nilizishindwa 😂
Kuna midudu ya ajabu kuikimbia huku unaishambulia, daah hili game nishalikumbuka tayari.
Hili game lilikuja kufunika temple run.Upgrade silaha
Alafu uwe unatumia shotgun
Me nishazimaliza zote mpk 120😃😃na naweza ludia nikamaliza maanq ni kitambo 2016 ndo likuwa ulevi wangu
Aah hilo me namaliza ndani ya siku moja😃Hili game lilikuja kufunika temple run.
Lirudie mkuu tuwe tunapeana maufundi 😂😂😂
Achana na mod cheza real mzee ukomae mod si unamaliza nusu saa game lote
Limekataa aisee hii simu ni janga basi tu 😂Achana na mod cheza real mzee ukomae mod si unamaliza nusu saa game lote
Njoo 😂Twende unifunge back to back sasa kabla ya Alhamic🤣🤣🤣
Labda EA Sports sio eFB 😅
Sitaki nataka asubuhi saiv nimechoka ndo unakuja🤣🤣🤣Njoo 😂
Alikuwa analisema Lara Croft game moja la kukimbiaLabda EA Sports sio eFB 😅
Hata kuinstalLimekataa aisee hii simu ni janga basi tu 😂
Aliyeniharibia simu... Nimuache tu 😂
Mi mwenyewe nimeshangaa upo active na nilitaka tupishane tusicheze 😂😂Sitaki nataka asubuhi saiv nimechoka ndo unakuja🤣🤣🤣
Tucheze asubuhi akili imetulia naona kila kitu chako😃😃😃