Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Selikavu unaweza kuta huyu mtu hapa ndiye Kandambili1 ameamua kuleta skills za PS kwenye eFootball πjust wish to be a normal person, you guy's are enjoying your time.
wish Inge kuwa hivyoSelikavu unaweza kuta huyu mtu hapa ndiye Kandambili1 ameamua kuleta skills za PS kwenye eFootball π
Amna kabisaπ€£π€£π€£mwalim ananikwepa mapema kabisa π€£π€£... Ila nadhani umeona Kuna vtiu tunacheza sawa na mwalimu selikavu
Wakati me mwalimu nipo division 3ππPicha linaanza kandambili yupo division 2 vs AI kwani nyie hamuogopiπ
Inaweza ikawaπSelikavu unaweza kuta huyu mtu hapa ndiye Kandambili1 ameamua kuleta skills za PS kwenye eFootball π
Aya kanitukane nimeshajuchagulia tusiπππIla wewe nakutukana hata PM huwezi nichezea mpira ule πππ
Limekufaa lile πππAya kanitukane nimeshajuchagulia tusiπππ
Inabidi na huku tufanye reform πJe mpira unaocheza na smart assist ukija ukazima utacheza hivyo hivyo
Tafakari chukua hatua hautojua game
#kataaWahuni #kataaSmartAssist
Good Morning Fam
Ulizani tuna tania, sema we nae unapenda kucheza mpira mzuri upate magoal ya kuanzia buld up , wakati wahuni wana sakama goal kwa njia yoyote ile πΉπΉπΉKitu ambacho nimethibitisha kandambili sio mgeni kwenye hili gameπ
πΉπΉπΉRazorblade sina hicho kifua likija swala lako utanisemehe tuuππ
Sema unapiga pass siku hizi kakaπππasee kwel sex football
Vip unamzingumziaje Halaand
View attachment 3437982
πΉ shivo anajua kukera
Hatuzimi smart assist ππJe mpira unaocheza na smart assist ukija ukazima utacheza hivyo hivyo
Tafakari chukua hatua hautojua game
#kataaWahuni #kataaSmartAssist
Good Morning Fam
Taarifa ya update ya 2026 hakuna smart assist πHatuzimi smart assist ππ
Comred kalala ππ
Vayolensi πUlizani tuna tania, sema we nae unapenda kucheza mpira mzuri upate magoal ya kuanzia buld up , wakati wahuni wana sakama goal kwa njia yoyote ile πΉπΉπΉ
Unacheka hizo kuna naneπππΉπΉπΉ
Acha tuuπππΉ shivo anajua kukera
ππ Tutaendelea kupambana ila siku wakija kutoa usilalamikeπππHatuzimi smart assist ππ