Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,393
Selikavu unaweza kuta huyu mtu hapa ndiye Kandambili1 ameamua kuleta skills za PS kwenye eFootball 😂just wish to be a normal person, you guy's are enjoying your time.
Selikavu unaweza kuta huyu mtu hapa ndiye Kandambili1 ameamua kuleta skills za PS kwenye eFootball 😂just wish to be a normal person, you guy's are enjoying your time.
wish Inge kuwa hivyoSelikavu unaweza kuta huyu mtu hapa ndiye Kandambili1 ameamua kuleta skills za PS kwenye eFootball 😂
Amna kabisa🤣🤣🤣mwalim ananikwepa mapema kabisa 🤣🤣... Ila nadhani umeona Kuna vtiu tunacheza sawa na mwalimu selikavu
Wakati me mwalimu nipo division 3😃😃Picha linaanza kandambili yupo division 2 vs AI kwani nyie hamuogopi😀
Inaweza ikawa😃Selikavu unaweza kuta huyu mtu hapa ndiye Kandambili1 ameamua kuleta skills za PS kwenye eFootball 😂
Aya kanitukane nimeshajuchagulia tusi😃😃😃Ila wewe nakutukana hata PM huwezi nichezea mpira ule 😂😂😂
Limekufaa lile 😂😂😂Aya kanitukane nimeshajuchagulia tusi😃😃😃
Inabidi na huku tufanye reform 😂Je mpira unaocheza na smart assist ukija ukazima utacheza hivyo hivyo
Tafakari chukua hatua hautojua game
#kataaWahuni #kataaSmartAssist
Good Morning Fam
Ulizani tuna tania, sema we nae unapenda kucheza mpira mzuri upate magoal ya kuanzia buld up , wakati wahuni wana sakama goal kwa njia yoyote ile 😹😹😹Kitu ambacho nimethibitisha kandambili sio mgeni kwenye hili game😀
😹😹😹Razorblade sina hicho kifua likija swala lako utanisemehe tuu😃😃
Sema unapiga pass siku hizi kaka😃😃😃asee kwel sex football
Vip unamzingumziaje Halaand
View attachment 3437982
😹 shivo anajua kukera
Hatuzimi smart assist 😂😂Je mpira unaocheza na smart assist ukija ukazima utacheza hivyo hivyo
Tafakari chukua hatua hautojua game
#kataaWahuni #kataaSmartAssist
Good Morning Fam
Taarifa ya update ya 2026 hakuna smart assist 😂Hatuzimi smart assist 😂😂
Comred kalala 😃😃
Vayolensi 😃Ulizani tuna tania, sema we nae unapenda kucheza mpira mzuri upate magoal ya kuanzia buld up , wakati wahuni wana sakama goal kwa njia yoyote ile 😹😹😹
Unacheka hizo kuna nane😃😃😹😹😹
Acha tuu😃😃😹 shivo anajua kukera
😃😃 Tutaendelea kupambana ila siku wakija kutoa usilalamike😃😃😃Hatuzimi smart assist 😂😂