Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Najua anayo mwambie ayalete, simu ilibaki 1% wakati tunacheza mechi ya mwisho na wewe 😂😂😂Matokeo bila picha ni Uzushi 🤣🤣🤣
Najua anayo mwambie ayalete, simu ilibaki 1% wakati tunacheza mechi ya mwisho na wewe 😂😂😂Matokeo bila picha ni Uzushi 🤣🤣🤣
Mwambie alete mkuu 😂Leta picha za matokeo kwanzq😃😃😃
mwalim ananikwepa mapema kabisa 🤣🤣... Ila nadhani umeona Kuna vtiu tunacheza sawa na mwalimu selikavuMwalimu unamkataa mwanafunzi wako uliyemfundisha mwenyewe 😀
Kampiga Razorblade nane Fanya mchezo hapa itakiwa zamu yangu keshoMwalimu unamkataa mwanafunzi wako uliyemfundisha mwenyewe 😀
Mkuu acha tu 😂😂😂Hiloooo umepigwa 8 😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣 Mkuu ile friendly wala sikuchukulia serious sana.. sikupiga picha hahaha na sikutala yafike huku..umeleta wewe matokeoNajua anayo mwambie ayalete, simu ilibaki 1% wakati tunacheza mechi ya mwisho na wewe 😂😂😂
Utakuwa umetishaMie ninayo tu hii mpaka ikae, ila ligi ya kuanzia kesho naweza weka haram football+smart assist ili tuende sawa 😂
Watu kumbe mmekula vipigo kutoka kwa kandambili mnaugulia kimya kimya😀Huyo Kandambili mechi ya kwanza kanipiga 1-8 na smart assist zake, mechi ya pili katangulia goli 2 ikabidi na mimi niwashe tukaenda draw.
Namsubiri aje hapa kusema hatumii smart assist.
Game unajua na huenda hujaanza cheza hivi karibuni ila kuhusu kuwa pro nimeanza kukataa 😂😂😂ni heri useme wewe mkuu....wananipa cheo ambacho siwezi kufika
Ila wewe nakutukana hata PM huwezi nichezea mpira ule 😂😂😂Utakuwa umetisha
Ani vile nabahatisha mkuu... ila bado sana hapa na vya kujifunza vipo vingiWatu kumbe mmekula vipigo kutoka kwa kandambili mnaugulia kimya kimya😀
hahaha nimeanza majuzi tu....sema naokota okota ujuzi mnavyocheza nyie mkuu naibaGame unajua na huenda hujaanza cheza hivi karibuni ila kuhusu kuwa pro nimeanza kukataa 😂😂😂
🤣🤣🤣 Baada ya kuhangaika sana mkuu ndo nikaishia apo .Sina maajabuPicha linaanza kandambili yupo division 2 vs AI kwani nyie hamuogopi😀
Resemblance ipo ila wewe upo clinical zaidimwalim ananikwepa mapema kabisa 🤣🤣... Ila nadhani umeona Kuna vtiu tunacheza sawa na mwalimu selikavu
Hukua serious na ukapiga mtu 8😀🤣🤣🤣 Mkuu ile friendly wala sikuchukulia serious sana.. sikupiga picha hahaha na sikutala yafike huku..umeleta wewe matokeo
Kwa mfumo naotumia pamoja na playstyle inabidi nitumie DMF kuanzisha mashambulizi ndiyomaana najaribu kupiga pasi nyuma ili kufungua nafasi kwa DMF.hahaha nimeanza majuzi tu....sema naokota okota ujuzi mnavyocheza nyie mkuu naiba
Ni kanuni yetu kuleta matokeo hata ufungwe 10 😂🤣🤣🤣 Mkuu ile friendly wala sikuchukulia serious sana.. sikupiga picha hahaha na sikutala yafike huku..umeleta wewe matokeo
Nauguliaje kimya kimya na nimesema mkuu 😂😂😂Watu kumbe mmekula vipigo kutoka kwa kandambili mnaugulia kimya kimya😀