Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Moja😃Shukran mkuu...hivi ni game 2 au 1?
Moja😃Shukran mkuu...hivi ni game 2 au 1?
Michezo hiyo we jamaa acha kutuchezea kaka🤣🤣mkuu wapi errors zipo kibao sana... ujuzi natoa huku huku
Huyu jamaa anatuchora tuu😃😃Halafu ana katabia. First half anacheza kama noob then second half anafungulia booster kama pro😀
Atume matokeo huyo 🤣🤣🤣...amemzuia Puskas dakika zote 90Kwel kabisa mkuu huyu jamaa ni pro 😃😃Aseme ukwel tuu
Game mmoja
Mkuu umeisha sahau ulikuwa unanipa ABC humu ... Pia bado kikosi hakijakaa vizuri ila tutafika.Michezo hiyo we jamaa acha kutuchezea kaka🤣🤣
Kwel kabisa me naenda kuunfriend hii account yake ya mchongo 🤣🤣Njoo na main account yako mkuu😀
Michezo hiyo Kandambili1, 😃hahaha mkuu nafikiri ni booster ya coach tu na wachezaji wenyewe....pia huwa na analyse mtu anavyocheza first half naamua niingiaje second half
Matokeo yapo wapItapigi kesho tupige kiume mechi 3
Mkuu ila ukiangalia kwa makini errors ninazo nyingi mno sio pro na siwezi kabisa kufikia hiyo level kwa sasa .Kwel kabisa me naenda kuunfriend hii account yake ya mchongo 🤣🤣
Uliniingiza mkenge tuu🤣🤣Mkuu umeisha sahau ulikuwa unanipa ABC humu ... Pia bado kikosi hakijakaa vizuri ila tutafika.
Matokeo yapo wap
Aah wap kaka😃😃Mkuu ila ukiangalia kwa makini errors ninazo nyingi mno sio pro na siwezi kabisa kufikia hiyo level kwa sasa .
ah wapi mkuu.... Sema nashukuru bado nakomaa na mambo madogo madogo.Uliniingiza mkenge tuu🤣🤣
Kuna wewe na Kandambili1 hamna wachezaji hapa 😂😂😂Razorblade kaka kwema apo .
Endelea kaka ukichoka utakuja na main account yako 🤣🤣ah wapi mkuu.... Sema nashukuru bado nakomaa na mambo madogo madogo.
Usiseme upepo sema pepo baya 😂Alitaka kufanya siri 😹😹😹dadekii ila siku izi Razorblade kapitiwa na upepo mbaya
Mamiyake 😃😃Kuna wewe na Kandambili1 hamna wachezaji hapa 😂😂😂