Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Kandambili1 unangojewa online
Ipiluja friend request muda ule ghafla tuUkiwa na game siku jitaid kupunguza game za friendly
TwendeIpiluja friend request muda ule ghafla tu
PoaTwende
Yupp online nowTwende
Shukran mkuu...hivi ni game 2 au 1?Kandambili good game mkuu
mkuu wapi errors zipo kibao sana... ujuzi natoa huku hukuKitu ambacho nimethibitisha kandambili sio mgeni kwenye hili game😀
Naona ni game sijuiShukran mkuu...hivi ni game 2 au 1?
Njoo na main account yako mkuu😀mkuu wapi errors zipo kibao sana... ujuzi natoa huku huku
hahaha mkuu nafikiri ni booster ya coach tu na wachezaji wenyewe....pia huwa na analyse mtu anavyocheza first half naamua niingiaje second halfHalafu ana katabia. First half anacheza kama noob then second half anafungulia booster kama pro😀
🤣🤣🤣 Nitolee wapi account nyingine mkuu ....sema nabahatisha sana mkuu.Njoo na main account yako mkuu😀
Wacha maneno yako kijana weka ID ya main account tuku add😀🤣🤣🤣 Nitolee wapi account nyingine mkuu ....sema nabahatisha sana mkuu.
Itapigi kesho tupige kiume mechi 3hahaha mkuu nafikiri ni booster ya coach tu na wachezaji wenyewe....pia huwa na analyse mtu anavyocheza first half naamua niingiaje second half
🤣🤣🤣🤣 Dah mkuu ningekuwa na account main ningeitaja sio kwa kubana hkuWacha maneno kijana yako kijana weka ID ya main account tuku add😀
Sawa mkuu....hamna shida kabisa.Itapigi kesho tupige kiume mechi 3
Kwel kabisa mkuu huyu jamaa ni pro 😃😃Aseme ukwel tuuKitu ambacho nimethibitisha kandambili sio mgeni kwenye hili game😀