Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,393
Ngoja aje 😂Comred kalala 😃😃
Ngoja aje 😂Comred kalala 😃😃
Hii vita ni kali sana😀Hatuzimi smart assist 😂😂
Jamhuri ya Smart assist tutaandamana 😂😂😃😃 Tutaendelea kupambana ila siku wakija kutoa usilalamike😃😃😃
Kuna magoli unafungwa unasema hapa smart assist imefanya yake😃😃😃Hii vita ni kali sana😀
Tutakuwepo 😃😃Jamhuri ya Smart assist tutaandamana 😂😂
Through balls za smart assist ni shida 😂😂😂Kuna magoli unafungwa unasema hapa smart assist imefanya yake😃😃😃
Na vile vi deibble mshenzi😀Kuna magoli unafungwa unasema hapa smart assist imefanya yake😃😃😃
Acha tuu ni kasheshe 😃😃😃Through balls za smart assist ni shida 😂😂😂
Vidribble mshenzi vile mtu ankuwekea mkono kabisa kukuzuia na hakosei direction 😃😃😃VinakeraNa vile vi deibble mshenzi😀
Ooh tulisema ikiisha hii league tutaendelea after updates
Afu leo Benfica tunafanya pared ya kombe letu muwepo😃😃😃
selikavu anataka tusahau yeye ndo bingwa pro safari hii.Dadeq
😹goali lina pingana na physics kabisa, mtu ana funga goal kama jiniKuna magoli unafungwa unasema hapa smart assist imefanya yake😃😃😃
Hakuna kitu mnaniambia nitawaelewaselikavu anataka tusahau yeye ndo bingwa pro safari hii.
Maswala ya Ai hayo😃😃😃😹goali lina pingana na physics kabisa, mtu ana funga goal kama jini
na kiwake mkuu.... Hamna shida nakuja pokea darasa .Shivooo Kandambili1 leo saa 4 tuna match pale Johan Cruyff Arena💥💥