eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Kuna wewe na Kandambili1 hamna wachezaji hapa 😂😂😂
Hahahaha mkuu matokeo usiyalete hapa 🤣🤣🤣🤣

Game ya pili umecheza vizuri sana na inapaswa kucheza hivyo mkuu ...pia punguza dribble na pass eneo la defence ...pasi zipigie sana phase ya pili pale kwa midfield...asante kwa game nzuri bro
 
Hahahaha mkuu matokeo usiyalete hapa 🤣🤣🤣🤣

Game ya pili umecheza vizuri sana na inapaswa kucheza hivyo mkuu ...pia punguza dribble na pass eneo la defence ...pasi zipigie sana phase ya pili pale kwa midfieldasante kwa game nzuri bro
Chukuaen madini hayo kutoka kwa Shivooo master Kandambili1

NEGAN Mr Devil Gilberto_ Warld Edo kissy
 
Hahahaha mkuu matokeo usiyalete hapa 🤣🤣🤣🤣

Game ya pili umecheza vizuri sana na inapaswa kucheza hivyo mkuu ...pia punguza dribble na pass eneo la defence ...pasi zipigie sana phase ya pili pale kwa midfield...asante kwa game nzuri bro
Wewe hamna kitu bhana, hizo pasi huko nyuma napiga kwa makusudi fulani.

Nipo training ya kitu ndiyomaana hata ukifunga goli 10+ bado unaona nacheza kama naongoza mimi.
 
Back
Top Bottom