Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,871
- 12,228
π€£π€£AseeeHamna kazi hapo, nimecheza nae mechi 1 tu alikuwa anahaha uwanjani πππ
π€£π€£π€£Milio kila konaSasa subiri kiwake upande wa pili utasikilizia milio π
Limempa counter target πππowaa weeeπ€£π kama drogba wako sio
Me bora mniueπππ Siwezi mchezeshaπ€£π€£π€£Yule mtu mkuu halafu kuna watu wanalalamika ni mzito π
Thank you brother ββi appreciate that...I'm your fan man π¨
Nimecheza nae mechi takriban elfu mbili na ushee cross alizopiga hazizidi tatu π€£π€£π€£We nae, kwani Koller haumuoni hapo π
Aamue sasa kuhamisha majeshi kwenye krosi πNimecheza nae mechi takriban elfu mbili na ushee cross alizopiga hazizidi tatu π€£π€£π€£
Yeye ni team mpira mzuriπππ macross na kuvizia sio vitu vyakeAamue sasa kuhamisha majeshi kwenye krosi π
Drogba ana speed ya konokono ana turn kama amefungwa mawe kwenye miguuπMe bora mniueπππ Siwezi mchezeshaπ€£π€£π€£
Anaweza tumia mwaka mzima kugeuka....ππDrogba ana speed ya konokono ana turn kama amefungwa mawe kwenye miguuπ
π mtu wa hivyo hatofika popoteYeye ni team mpira mzuriπππ macross na kuvizia sio vitu vyake
Ngoja povu lije sasa ila ndo ukwelπππ mtu wa hivyo hatofika popote
Labda akamie π
We subiria tu ππ€£π€£π€£Milio kila kona