eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Ndo napenda sasa, ila kutumia haram na drone football naweza vizuri sana ila mpira mbovu kama huo nacheza dvn au nikiwa nahitaji coins kwenye PvP 😂😂😂
Drone na Haram ni mpira mbovu sio🤣🤣🤣
 
Ngoja povu lije sasa ila ndo ukwel😃😃
Mimi kama mtu wa pwani nikimiliki chombo na minazi mitatu pamoja na kiti cha kulaza unaongezea na wake wanne baaasi tosha kabisa 😂😂😂

Asubuhi kwenye bao, jioni kwenye kahawa 😂😂😂
 
Mimi kama mtu wa pwani nikimiliki chomo na minazi mitatu pamoja na kiti cha kulaza unaongezea na wake wanne baaasi tosha kabisa 😂😂😂

Asubuhi kwenye bao, jioni kwenye kahawa 😂😂😂
Fala una maneno sana🤣🤣🤣
 
Yule jamaa anajua sana


Sema ndo hivyo anatumia Console 😃😃
Yule jamaa ndo alinifanya nisipende sana cross maana alisema siyo lazima kutumia cross kwenye LBC halafu ukiangalia anatandaza boli safi na habutui hata akifungwa.
 
Fala una maneno sana🤣🤣🤣
Mimi nataka kujua game, sitaki kucheza game 😂

Kuna watu unaweza kutana nao dvn yani we butua ila yeye akishika mpira kazi unayo, boli linatembea chini tu halafu speed yake ni balaa 😂
 
Back
Top Bottom