Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
🤣🤣AseeeHamna kazi hapo, nimecheza nae mechi 1 tu alikuwa anahaha uwanjani 😂😂😂
🤣🤣🤣Milio kila konaSasa subiri kiwake upande wa pili utasikilizia milio 😂
Limempa counter target 😃😃😃owaa weee🤣😅 kama drogba wako sio
Me bora mniue😃😃😃 Siwezi mchezesha🤣🤣🤣Yule mtu mkuu halafu kuna watu wanalalamika ni mzito 😂
Thank you brother ✊✊i appreciate that...I'm your fan man 👨
Nimecheza nae mechi takriban elfu mbili na ushee cross alizopiga hazizidi tatu 🤣🤣🤣We nae, kwani Koller haumuoni hapo 😅
Aamue sasa kuhamisha majeshi kwenye krosi 😅Nimecheza nae mechi takriban elfu mbili na ushee cross alizopiga hazizidi tatu 🤣🤣🤣
Yeye ni team mpira mzuri😃😃😃 macross na kuvizia sio vitu vyakeAamue sasa kuhamisha majeshi kwenye krosi 😅
Drogba ana speed ya konokono ana turn kama amefungwa mawe kwenye miguu😀Me bora mniue😃😃😃 Siwezi mchezesha🤣🤣🤣
Anaweza tumia mwaka mzima kugeuka....😃😃Drogba ana speed ya konokono ana turn kama amefungwa mawe kwenye miguu😀
😅 mtu wa hivyo hatofika popoteYeye ni team mpira mzuri😃😃😃 macross na kuvizia sio vitu vyake
Ngoja povu lije sasa ila ndo ukwel😃😃😅 mtu wa hivyo hatofika popote
Labda akamie 😂
We subiria tu 😂🤣🤣🤣Milio kila kona