eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Mimi nataka kujua game, sitaki kucheza game 😂

Kuna watu unaweza kutana nao dvn yani we butua ila yeye akishika mpira kazi unayo, boli linatembea chini tu halafu speed yake ni balaa 😂
Hizo level tutafika tuu ila kwa sasa


Mpira Magoli😃😃
 
Mpira magoli kaka burudisha watu lakn shinda...


Me nijue kukaba tuu basi nimemaliza 😃😃
Sasa nitakuburudishaje bila kukufunga, yani nataka nikiwa namfunga mtu akasirike hadi atamani kutupa simu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom