Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Lazima tutengeneze uhalisia hatakama ni game, maneno ya uchochezi na kutiana presha yananogesha πππUnapenda sana vitaπ€£π€£π€£
Upo nae leo jioni mechi mbili π€£π€£π€£
Nenda training π«΅π€£π€£
Inanitosha hiyoπ nahitaji beki wa kuendana na CannavarroEndelea kupambana mkuu, tafuta rank za juu π
Huwezi shindwa vita vyote sioππLazima tutengeneze uhalisia hatakama ni game, maneno ya uchochezi na kutiana presha yananogesha πππ
Hanitishi huyo maana siku ile nilimuwekea Amrabat tu kahaha, ashukuru lile goli la Tony πNenda training π«΅π€£π€£
Hiyo card ya VVD hata mimi naitaka ila upuuzi wa kucho.a coins sifanyi, acha aende tu πInanitosha hiyoπ nahitaji beki wa kuendana na Cannavarro
Naitaman sana card ya VVD pale
Roho ya kuchoma coin iniepukeπππ
Misimu minne Simba amekosa ubingwa lakinj zile kelele za Ahmed Ally zinatuliza mashabiki πHuwezi shindwa vita vyote sioππ
Ngoja nitajaribu bahati baadaeππHiyo card ya VVD hata mimi naitaka ila upuuzi wa kucho.a coins sifanyi, acha aende tu π
Na Ahmed ally anatuwezea fala yuleMisimu minne Simba amekosa ubingwa lakinj zile kelele za Ahmed Ally zinatuliza mashabiki π
Hamna kazi hapo, nimecheza nae mechi 1 tu alikuwa anahaha uwanjani πππGilberto umewai mfunga kwanπππ
Kazi njema.Ngoja nitajaribu bahati baadaeππ
Coin zipo tuu
Sasa subiri kiwake upande wa pili utasikilizia milio πNa Ahmed ally anatuwezea fala yule
Sema humu tumetumiana username halafu kuna wengine wamebadilisha, kuna mtu kila nikifungua game nakuta invite yake anajiita IGOKO na sijui ni nani maana hili jina limebadilishwa ππππΉπΉ yote aya kasababisha Mill broh habari yako ilkua iishie jana
Anavizia sana huyo πNgoja niende training maana Mr Devil Anacheza total football π
π kama drogba wako sioAnavizia sana huyo π
Yule mtu mkuu halafu kuna watu wanalalamika ni mzito ππ kama drogba wako sio
I'm your fan man π¨Wakuu finally i can seat in with legends NEGAN Gilberto_ na Mill broh View attachment 3428059
Ndugu zangu Edo kissy Mr Devil kwaherini
Razorblade sina cha kukuambiaπ€£π€£π€£