Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Saa mbili kamili basi tuguse mtaalamNipo any time kipengele anacho yeye na promoter wake
Saa tano kamili uwepo kucheza na Negan mkuuSaa mbili kamili basi tuguse mtaalam
ToshmillUsername Yako mkuu
ToshmillUsername Yako mkuu
Mkuu ndio narudi toka majukumu....hahahaha pia nimependa table ya mechi zote...nafuatilia kwa ukaribu...Kandambili1 upo mkuu??
Aah mill bro asingekuja ungechukua nafasi yake kakaMkuu ndio narudi toka majukumu....hahahaha pia nimependa table ya mechi zote...nafuatilia kwa ukaribu...
Na huo ndo ugonjwa wangu mkuu, nipe maelekezo 😂😃😃😃Jifunze kuclear kona muulize mwenzako Edo kissy 😃😃
Usije sema hukuambiwa😃😃😃maana unatamba mno
Sina maelekezo maana na mimi bado nafungwa😃😃😃Na huo ndo ugonjwa wangu mkuu, nipe maelekezo 😂