Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Leo utashuka utulie chini kidogo 😃😃Mkuu amini kwamba baridi linapiga siyo poa, niletee masweta fam 😂
Leo utashuka utulie chini kidogo 😃😃Mkuu amini kwamba baridi linapiga siyo poa, niletee masweta fam 😂
Hapana hiyo haikubaliki, mechi zinachezwa kwa ratiba 😂Kama Mill Broh asipotokea Nitacheza mimi😃😃nitaweka kikosi changu kwa mtu nicheze mechi zote tatu leo leo😃😃😃😃😃
😃😃😃Hakuna nenoHapana hiyo haikubaliki, mechi zinachezwa kwa ratiba 😂
Ikifika mpaka saa 12 jioni Mill hajatokea itabidi upewe win ya kiporo cha jana.Mm nipo shida opponent wangu mkuu
Au cheza na KandambiliMm nipo shida opponent wangu mkuu
Ndo nalitaka hilo 😂Kijana subiri upigiwe pira haram pira matokeo 😀
Kama huyo yupo basi nafasi ya Mill apewe yeye, Mill ataingia ya J3.Au cheza na Kandambili
AkujeAu cheza na Kandambili
Ndo nimewaza na mimi hiloAu cheza na Kandambili
Upo moto kakaAkuje
Sasa mgeni wa nini wakati wenyeji wapo? Tulia kwanza wenyeji watimue vumbi 😂Mnapenda point za mezani😀😀😀
Namleta mtu😃😃😃mgen ngoja nimwambie afungue Id🤣🤣🤣
Gilberto_ unajua ni nani namleta Stay tuned🤣🤣🤣
Wenyeji si mwazingua mwataka pwonti za mezani 😀 😀 😀Sasa mgeni wa nini wakati wenyeji wapo, tulia kwanza wenyeji watimue vumbi 😂
Mkuu umepata mpenzi kutokea tanga, hizi mwa... mbona ghafla sana 😂Wenyeji si mwazingua mwataka pwonti za mezani 😀 😀 😀