Jamani Edo kissy 😅Round one imeisha tunaenda Round two
Kwa sasa kila mtu ana taarifa hakutokuwa na fair kama hautotokea bila taarifa
Msimamo ulivyo kwa sasa
NEGAN Mill broh Mr Devil Razorblade Edo kissy Gilberto_ View attachment 3425116
Razorblade unaitwa huku😃😃Kaka Razorblade njoo nikupe chako mapema 😅
😅😅😅 ila hii ligi ikiisha humu ndani ndo tutaheshimiana😃😃😃😃 Umeanza 🤣🤣🤣
Yes bro ni wazo zuri kwenye emergency nitakuwepo.Aah mill bro asingekuja ungechukua nafasi yake kaka
Sema kaja kwahiyo utaingia ya week ijayo
Aje nimnyoeRazorblade unaitwa huku😃😃
Jumatatu uwepo kaka sio kwa emergency unaanza na wewe kucheza 😃😃Yes bro ni wazo zuri kwenye emergency nitakuwepo.
Ndo mpira kakaInasikitisha sana
Hawezi nifunga namuamini Cannavaro 😂Sina maelekezo maana na mimi bado nafungwa😃😃😃
Mkuu upo kuna league hukuAnyone ashare codeView attachment 3416125
kijeba😃Hawezi nifunga namuamini Cannavaro 😂
At least hatushiki mkia
View attachment 3425106
Edo kissy good game man👍
Daah et good game 😂Good game shots 1😂💔🚮
Beki zinakaba mno
Tulia nimtandike Gil ndo utajua hujui 😂Ukiona Razorblade anaongoza ligi ujue Mill Broh hajacheza bado 😀😃😃😃
Sawaaa kaka me sina nenoTulia nimtandike Gil ndo utajua hujui 😂
Niache kwanza nitulie 😂Kaka Razorblade njoo nikupe chako mapema 😅
Niache 😂Razorblade unaitwa huku😃😃