We hakikisha tu unamzuia 😂😹😹nitafute sare wakati nipo mkiani
Hapo hata aliyekuwa anakusudiwa awe replacement nae hayupo, wakupe win tu bhana 😂
Mr Devil njoo utafute point 1 ya kulingishia ligi ikiisha 😂Mwambie aje
Selikavu anakuwekea ngumu badala ya kukupa win 😂Kweli kabisaa mkuu😂🙌
Edo kissy anapata point 3 za bure au😀Kweli kabisaa mkuu😂🙌
Hakuna😀😀😀Edo kissy anapata point 3 za bure au😀
Sema muda kaka iwe rahisi...Ukuje mkuu