Tupo live sema sijapenda logo ya barca💔🙌Mpaka saivi tupo live Razorblade unashikilia mkia mkuu 😂😂😂
kuna anaeongezeka?? 😁
View attachment 3423151
Ujue nachanganya kati yako wewe na mr devil kuna mmoja huwa anaweka nembo ya Barcelona mara moja moja 🤣🤣Tupo live sema sijapenda logo ya barca💔🙌
Pow hakuna nenoHalla Madrid au Bayern
Halla Madrid au Bayern
Hawezi kuwa amelala ma mtu wake hayupo leoView attachment 3423793ndo nafika getto mkuu 7%, saa 23:30 kama autakua umelala
Nime kubali hii
Mtakutana kwenye league tuu🤣🤣🤣#Hatuchezi ppromoter atashugulikia hili😂
Umeelewa inavyokuwa ...Nime kubali hii
Eeh mkuu game sio nyingi tukaona ianze leo tuuLig imeanza leo au
Tuki chengana ana pewa point 3Eeh mkuu game sio nyingi tukaona ianze leo tuu