Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 904
- 2,514
Balaa gani kaka, beki zako 3 lakini hazipitiki.. bora ningeweka mawinga tu 😂😂Point zishadondoka huko😀 gilberto una balaa😀View attachment 3423854
Balaa gani kaka, beki zako 3 lakini hazipitiki.. bora ningeweka mawinga tu 😂😂Point zishadondoka huko😀 gilberto una balaa😀View attachment 3423854
Afu nilifikiria hivo hovo 😄🙌Kuogopana😀
Kumeanza kuchangamka 😁😁HATA SIELEWI TULIFUATA NINI UWANJANI 😂😂View attachment 3423853
Acha tu 😂Kumeanza kuchangamka 😁😁
Nadhani nitakuwa naongoza msimamo, kialfabeti 😂😂
Tuanataka matokeo aisee😀 Selikavu watu wameingia mitini😀View attachment 3423861
Kwani na hao wengine wanaogopana 😂💔 mpaka saivii
Utambe sio🤣🤣Nadhani nitakuwa naongoza msimamo, kialfabeti 😂😂
Razorblade na Mr Devil wapo RoomView attachment 3423861
Kwani na hao wengine wanaogopana 😂💔 mpaka saivii
Duh, Wamenifanyia hujuma hao 😂Utambe sio🤣🤣View attachment 3423863
Huwa wanafanya hivyo sijui kwannDuh, Wamenifanyia hujuma hao 😂
Matokeo ana kuja nayo drogba wa RazorbladeYanakuja ya Razorblade na Mr Devil😁
Mill Bro hajatokea ila hatumpi point kwanza Edo kissy maana hana taarifa hajaingia tena online tangu mchana..
So tunampa fair mpka kesho
Drogba tena😃Matokeo ana kuja nayo drogba wa Razorblade
Vyovyote tu muhimu vumbi kiwake 😂Round za mtoano zitakuwa hivi😃😃Mjue mapema
Play offs
3 vs 5 (Cap 1)
4 vs 6 (Cap 2)
Nusu itakuwa hivi
1 vs winner of Cap 2
2 vs winner of Cap 1
Mnaonaje wakuu ikikaa hivi
Imekuaje tena😀Matokeo ana kuja nayo drogba wa Razorblade