eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Hii nakumbuka ulisema sema kitambo

Active mpo sita 😃 unaweka kama UEFA ilivyo... Mnaanza na League kila mtu anacheza mechi zake hata tatu Kwanza mkimaliza wawili wa juu wanaenda Nusu fainali moja kwa moja waliobaki wanne wanacheza playoffs... Wanapatikana wawili wanakuja kucheza Nusu fainali then Fainali league imeisha
hahaha mkuu hii idea ni nzuri sana
 
Mkuu nilikuwa Sina access ya internet wala wifi kwa watu ...

Nimechelewa nimepewa bale na buyten...labda na Saka...nipo sawa

Nakosa tu midfield na labda beki wa kati epic ya puyol na cannavaro ingekuwa balaa
Kabla ya kuchagua ungekuja huku maana pale mmoja alikuwa wa kupewa mwingine wa kuchagua
 
Ndio mkuu hahaha nilichagua wakupewa mkuu.... Kule kwenye kuchagua nilienda ma bale kuongeza option pale mbele.... ilikuwa nafasi moja nikaona niende nae huyo...so far pale mbele sina shida.
What's done is done

Hakuna shida kaka

Kuhusu league naomba uanze jumatatu ya week ijayo kama itakuwa sawa kwako ili tupate mtu uingie nae kwa Watu saba itakuwa ngumu kdg ila watu nane uwakika labda apatikane leo mwingine utaanza nae
 
What's done is done

Hakuna shida kaka

Kuhusu league naomba uanze jumatatu ya week ijayo kama itakuwa sawa kwako ili tupate mtu uingie nae kwa Watu saba itakuwa ngumu kdg ila watu nane uwakika labda apatikane leo mwingine utaanza nae
Ndio bro....taratibu maana sjacheza muda hebu nijiweke sawa kidogo...Asante sana mkuu.
 
Back
Top Bottom