Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
😀😀😀EwaaaaAah familia nllisahau vipi hii😀
NO SMART ASSIST
😀😀😀EwaaaaAah familia nllisahau vipi hii😀
NO SMART ASSIST
🤣🤣🤣Tutaomba hili swalaUnyama sana, kasimu kangu kakijitoa kwenye game hakuna kurudia ni kukata points tu.
Ila ban muhimu kwa wa kwanza kutoka na atakayekosa mechi 2 mfululizo siyo 3 tena 😂
Muanze kujifua sasa😀😀😀🔥Smart assist hairuhusiwi ukigundulika unaombewa ban 😂
Nipo full mkoko na hivi sichez hizi league za mwanzo😀😀Promoter Selikavu hacheki na wowote😀
Muda wa mechi za mzunguko husika uwe kuanzia saa 4:00 mpaka saa 5:59, mechi zitazochezwa nje ya huo muda hazitahesabika.🤣🤣🤣Tutaomba hili swala
Mimi nipo vizuri mkuu 😂Muanze kujifua sasa😀😀😀🔥
Ko tuanze kukiwasha leo au ?Active mpo sita 😃 unaweka kama UEFA ilivyo... Mnaanza na League kila mtu anacheza mechi zake hata tatu Kwanza mkimaliza wawili wa juu wanaenda Nusu fainali moja kwa moja waliobaki wanne wanacheza playoffs... Wanapatikana wawili wanakuja kucheza Nusu fainali then Fainali league imeisha
We ndo bodi ya ligi 😂😂Muda wa mechi za mzunguko husika uwe kuanzia saa 4:00 mpaka saa 5:59, mechi zitazochezwa nje ya huo muda hazitahesabika.
We andaa tuu tuanze jumatatu ijayo😀😀Ko tuanze kukiwasha leo au ?
Mangungu🤣🤣We ndo bodi ya ligi 😂😂
Nisamehe mkuu 😂🙌List batiri bila kuwepo mleta Uzi😂
Aaah sawaWe andaa tuu tuanze jumatatu ijayo😀😀
Nimejaribu kuandaa nimeshindwa😀😀sijawai tumia hiyo appAaah sawa
Ndo nipo naingiza majina hapa.. nishasahau wengineNimejaribu kuandaa nimeshindwa😀😀sijawai tumia hiyo app
Utaniuliza tuu😀😀Ndo nipo naingiza majina hapa.. nishasahau wengine
Mpaka saivi tupo live Razorblade unashikilia mkia mkuu 😂😂😂
kuna anaeongezeka?? 😁
View attachment 3423151
Aisee mbona mapema sana 😂Mpaka saivi tupo live Razorblade unashikilia mkia mkuu 😂😂😂
kuna anaeongezeka?? 😁
View attachment 3423151
Wakuu nisaidien huyuy jamaa asitoke huko chini🤣🤣🤣Mpaka saivi tupo live Razorblade unashikilia mkia mkuu 😂😂😂
kuna anaeongezeka?? 😁
View attachment 3423151