Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Muhimu uwe bingwa tu.Haram Football si inaruhusiwa lakini!
Wakwanza kutolewa kwenye shindano anaombewa ban 😂
Nasisitiza hizi ban zitafanya tupambane zaidi maana hakuna zawadi 😂
Muhimu uwe bingwa tu.Haram Football si inaruhusiwa lakini!
Ushindwe wewe tuu kushinda sasaAaah familiya yangu kabisa wewe, hivi ndo nilivyokuwa nafikiria 😂
J'Mosi anatafutwa mshindi wa 3 halafu J'Pili Final, hii ni kuongeza ladha tu katika shindano.
Halafu J3 ngoma inaanza tena 😂
Ban zinanisubiri 😂Ushindwe wewe tuu kushinda sasa
Mimi namtaka yule Kante au Serginho.
Naleft JF 😂💔Nitawaletea Rashford ooh😀😀😀mkimbie humu🤣🤣
Kante mzee😀😀Mimi namtaka yule Kante au Serginho.
HAkuna sehemu utaenda na League utacheza🤣🤣🤣Naleft JF 😂💔
Mie wanipe tu hiyo card 😂Kante mzee😀😀
Ile card mzee ni kama Cannavarro 😀😀Mie wanipe tu hiyo card 😂
Ni wewe tu haram ball, drone foltball, rafu, back pass, tiki taka zinaruhusiwa ambacho hakiruhusiwi ni cheating ya network tuHaram Football si inaruhusiwa lakini!
Smart assist 😀😀Ni wewe tu haram ball, drone foltball, rafu, back pass, tiki taka zinaruhusiwa ambacho hakiruhusiwi ni cheating ya network tu
Ubaya ubwela😀Na asipokuwa active kwenye mechi 3 mfululizo tunamuombea ban 😂
Aah familia nllisahau vipi hii😀Smart assist 😀😀
Unyama sana, kasimu kangu kakijitoa kwenye game hakuna kurudia ni kukata points tu.ambacho hakiruhusiwi ni cheating ya network tu
Smart assist hairuhusiwi ukigundulika unaombewa ban 😂Smart assist 😀😀
Promoter Selikavu hacheki na wowote😀Unyama sana, kasimu kangu kakijitoa kwenye game hakuna kurudia ni kukata points tu.
Ila ban muhimu kwa wa kwanza kutoka na atakayekosa mechi 2 mfululizo siyo 3 tena 😂
Ukigundua mpinzani anatumia smart assist unatoa taarifa kabla mechi haijaisha ili tumuombee ban mapema 😂Aah familia nllisahau vipi hii😀
NO SMART ASSIST
Kabisa mkuu kama mambo yakienda vizuri tournament za mbele mechi ya Final itakuwa streamed live.Tena vizuri sasa hivi vikosi vyetu almost vimalingana strength challenge itakua kubwa