eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Hapo mechi si 5 tu kwa kila mtu, ikianza J3 mpaka J2 inakuwa imeisha.
Basi ile message yangu ya ufafanuzi hukuielewa kaka

Timu zipo sita

Tunacheza mfumo wa league mwanzo

KIla mtu atacheza mechi tatu mwanzoni
Yan mechi moja moja dhidi ya watu watatu...

Then league inaishia hapo tunaenda playoffs

Waliokuwa nafasi ya kwanza na ya pili wanafuzu moja kwa moja Nusu Fainal

Mtu wa tatu mpaka wa sita watcheza playoffs

Watapatikana wawili ambao watakuja kuungana na mtu wa kwanza na wa wapili itapigwa nusu fainal then Fainali league imeisha kaka
 
WAKUU, TUPO WACHACHE FIXTURES ZIPO 5 TU SIONI HAJA YA KUSUBIRIA MPAKA J3 NA NYIE MPO TU ACTIVE, TUANZE TU KUKIMBIZANA HIYO J3 ITAFAHAMIKA TU NA HUENDA NDO WATU WATAKUWA WASHAANZA KUONGEZEKA..

Ko natuma fixtures za leo, alafu kesho nyingine, keshokutwa nyingine ya 3.

Afu knockout zitaanza ijumaa.
NEGAN Mill broh Mr Devil Edo kissy kinawaka leo kaka kuanzia leo kuwen active
 
Basi ile message yangu ya ufafanuzi hukuielewa kaka

Timu zipo sita

Tunacheza mfumo wa league mwanzo

KIla mtu atacheza mechi tatu mwanzoni
Yan mechi moja moja dhidi ya watu watatu...

Then league inaishia hapo tunaenda playoffs

Waliokuwa nafasi ya kwanza na ya pili wanafuzu moja kwa moja Nusu Fainal

Mtu wa tatu mpaka wa sita watcheza playoffs

Watapatikana wawili ambao watakuja kuungana na mtu wa kwanza na wa wapili itapigwa nusu fainal then Fainali league imeisha kaka
Nimekuelewa sasa.
 
HII ROUND 1 😵
Mill broh v Edo kissy

Razorblade v Mr Devil

NEGAN v Gilberto_

Sheria.
Dakika 10, Conditions - EXCELLENT, no EXTRA, no PENALTIES.

DEADLINE,
Saa 5:50 usiku.. mpaka huo muda asipotokea mpinzani unapewa chako mapema.

Matokeo mtatuma humu humu wakuu..

🔥🔥 kiwake, ukituma matokeo utanitag mimi au Selikavu ili yarekodiwe
IMG-20250729-WA0260.jpg
 
Eti anasema account kampa mdogo wake kwa muda, wakati juzi ametuambia mdogo wake hakulink kwahiyo amempa account yake nyingine halafu leo anasema amempa tena account mdogo wake 😂😂😂

Anatuchanganya 😂
Nilimpa Account ya Selikavu mara ya kwanza😃😃

Jana ndo nikamwambia aachane na selikavu nampa yangu kubwa😃😃😃

Sasa hujaelewa nn hapo kaka🤣🤣

Mimi siwezi kukukimbia😃😃
 
Back
Top Bottom