Nilisema lini tena? 😂Hata sijawahi itumia zaidi ya kuidownload tu, tumpe hili jukumu Gilberto_ nakumbuka yeye alisema alishawahi kuandaa tournament.
Muhimu kwanza tujue idadi ya watakaokuwa
Ubaya ubwela umeanza 😃😃Kama mtu atakuwa hayupo active aliyepo online anapewa ushindi automatic
Hii nakumbuka ulisema sema kitamboNilisema lini tena? 😂
Ishu inakuja humu tupo wachache mno, naona hatufiki 8 ambao tupo active tuanzishe hata mtoano hapo..
Mimi, wewe, Negan, Razorblade, Mr Devil, Mill BrohHii nakumbuka ulisema sema kitambo
Me simu imeloga mkuu😀😀😀Mimi, wewe, Negan, Razorblade, Mr Devil, Mill Broh
Na nani? Tuwe nane tuanzie QUARTERS ..
Haya we umekimbia mapemaa tu tuletee mtu wa kureplace nafasi yako 😂Me simu imeloga mkuu😀😀😀
Alafu nimeandik vzr hiyo text isome tenaMimi, wewe, Negan, Razorblade, Mr Devil, Mill Broh
Na nani? Tuwe nane tuanzie QUARTERS ..
Nitawaletea Rashford ooh😀😀😀mkimbie humu🤣🤣Haya we umekimbia mapemaa tu tuletee mtu wa kureplace nafasi yako 😂
Active mpo sita 😃 unaweka kama UEFA ilivyo... Mnaanza na League kila mtu anacheza mechi zake hata tatu Kwanza mkimaliza wawili wa juu wanaenda Nusu fainali moja kwa moja waliobaki wanne wanacheza playoffs... Wanapatikana wawili wanakuja kucheza Nusu fainali then Fainali league imeishaMimi, wewe, Negan, Razorblade, Mr Devil, Mill Broh
Na nani? Tuwe nane tuanzie QUARTERS ..
Hii nzuri mshindi anapitia pumzi ya moto😀Hii nakumbuka ulisema sema kitambo
Active mpo sita 😃 unaweka kama UEFA ilivyo... Mnaanza na League kila mtu anacheza mechi zake hata tatu Kwanza mkimaliza wawili wa juu wanaenda Nusu fainali moja kwa moja waliobaki wanne wanacheza playoffs... Wanapatikana wawili wanakuja kucheza Nusu fainali then Fainali league imeisha
Tena ikiwezekana kila week kunakuwa na League mpya😀😀Hii nzuri mshindi anapitia pumzi ya moto😀
Haram Football si inaruhusiwa lakini!Tena ikiwezekana kila week kunakuwa na League mpya😀😀
Jumatatu mpka Jumatano mnacheza mechi hizo tatu za league
Alhamic Playoffs
Ijumaa Nusu Fainal
Jumamosi au jumapili Fainali
Ni wewe tuu kikubwa uwe Bingwa 🤣🤣🤣Haram Football si inaruhusiwa lakini!
Anatoa assist sana kuliko kushinda mwenyewe sasahivi 😂Saiv upande wake alikuwepo Cannavarro 😀😀
Na asipokuwa active kwenye mechi 3 mfululizo tunamuombea ban 😂Kama mtu atakuwa hayupo active aliyepo online anapewa ushindi automatic
Eeh hapo unyama, naimani tukifanya hivi hata wale wachezaji waliokuwa kimya wataanza kujitokeza.Active mpo sita 😃 unaweka kama UEFA ilivyo... Mnaanza na League kila mtu anacheza mechi zake hata tatu Kwanza mkimaliza wawili wa juu wanaenda Nusu fainali moja kwa moja waliobaki wanne wanacheza playoffs... Wanapatikana wawili wanakuja kucheza Nusu fainali then Fainali league imeisha
Aaah familiya yangu kabisa wewe, hivi ndo nilivyokuwa nafikiria 😂Tena ikiwezekana kila week kunakuwa na League mpya😀😀
Jumatatu mpka Jumatano mnacheza mechi hizo tatu za league
Alhamic Playoffs
Ijumaa Nusu Fainal
Jumamosi au jumapili Fainali