eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Hakuna point za kufuzu moja kwa moja...

Ni nafasi yako kwenye msimamo...

Ukiwa wa kwanza na wa pili unafuzu moja kwa moja
Mkuu kwani si tumekubaliana itakuwa ni mfumo wa UEFA, hivyo ndo itakuwa ngumu maana ili ufuzu lazima uwe na hiyo idadi ya points.
 
WAKUU, TUPO WACHACHE FIXTURES ZIPO 5 TU SIONI HAJA YA KUSUBIRIA MPAKA J3 NA NYIE MPO TU ACTIVE, TUANZE TU KUKIMBIZANA HIYO J3 ITAFAHAMIKA TU NA HUENDA NDO WATU WATAKUWA WASHAANZA KUONGEZEKA..

Ko natuma fixtures za leo, alafu kesho nyingine, keshokutwa nyingine ya 3.

Afu knockout zitaanza ijumaa.
 
Back
Top Bottom