TwenzaoGoli la 3 ndio nime observe hio kitu.
Goli la kwanza tu ndo halali 😂 hujaona ulivyofunga la pili nikapause kidogo, la tatu mguu uakanisaidiaGoli la 3 ndio nime observe hio kitu.
Hao watu wa mtandao wanakuonea huruma wanajua utakutana na kipigo kizito 😂Edo kissy em twende tena kaka, voda nayo jau nimerudisha airtel tu ikizingua tena basiView attachment 3422349
Aah wap😃 Edo kissy kapiga zile namba🤣🤣🤣Hao watu wa mtandao wanakuonea huruma wanajua utakutana na kipigo kizito 😂
MASHABIKI ZANGU MIKONO JUU 😂💔
Umekutana na kona jiwe nn??🤣🤣🤣🤣me ndo huwa nazikaba kila siku😃😃😃A wapi hadi aibu kuweka matokeo padi hazifiki wewe ukigusa tu imoo😅
Ebu niendelee kutrain
Nmna hii🔥✊👏👏👏👏👏